Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
hewaaaa hapo ndio kwenyewe
hivi kwanini walikuita kwa mama John unajua
ha ha ha.....
naambiwa kulikuwa na mmama anakaa pale ndie mwenye jina hilo.
hewaaaa hapo ndio kwenyewe
hivi kwanini walikuita kwa mama John unajua
zimefika bestito ondoa shaka yeye kajaa tele hana hiyana kama mwalimu wa walimu
View attachment 150394
halafu hayo mambo yako ya kufunga pm siyapendi!Hebu mwambie uwazi kwani hizi ni zama za ukweli na uwazi
usimfiche hata kidogo pls my dia
Namtafuta sana Demu mmoja anaitwa Khairati abdalla. Mimi na yeye tulikomana darasa la tano baada ya kukutikana barua yake ndani ya buku la hisabati pale chumbuni. Baada ya Kesi hiyo nilidukuzwa skuli na nikatafutiwa skuli nyengine, nlisikia yuko dar es salaam but sijui nimpate wape Kama atayaona haya maelezo yeye mwenyewe atanijua tu, naomba nimjulishe mimi mwenyewe nipo dar lakini nakutafuta sana
Munkari nimemuona anakatiza polini huku anapishana na fisi.
Songea huko kwa wale wenye majina ya wanyama...
ha ha ha utasikia mapunda! Simba !! Sungura !! Kifalu !ngedere !! Swala !! Nguruwe pori!!...
kombaaaaaaaaaaaaaaa !!!! Ha ha ha ha kadudu kanakunywa mnazi haka! Ndo mana muda wote anasinzia tu !!Ha ha ha Munkari.. kuna mwingine bonge yuko mjengon & anaimba kwaya.. ana jina la yule mnyama mdogo lkn bingwa wa kurukia kwenye miti.. Anaitwa nani vleee..?
Ha ha ha ha Munkari.. heri mie sijasema lol..
Basi fanya hivyo kwa ukumbusho wangu. G9t wife.kobun mie ninao I always listen to that songkaribu kila siku asubuhi