Uko wapi.....Nikufate

Uko wapi.....Nikufate

...afu wewe ??? Kuniuza jana ndo nini?? !!!

Alafu nilihisi tu...lakiniii mbona lile sio gari lako nililozoea kukuona nalo... najua lile T 655 ... sasa kale ka vitz sijui duet T 714 ... ka wapi!??
 
ha ha hako kapya ndugu yangu ndo kwanza nimekatoa bandarini majuzi sasa nakuita unajifanya ooh miye ka vitz ka wanawake sipandi !!.. Uliniudh!!!
 
Sasa unaniita kwa mapozi kiasi kile ulitaka nije tu! Leo ukitoka kazini unipitie basi... #usisahau
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Amyner.! huyu mrembo alikuwepo mara ya mwisho march 2013!
Amyner mrembo, come back soon!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom