bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,301
Toka kwanza kwa shemeji ukue ujue maisha.
Kuinjoi ndio nini
Kuinjoi ndio nini
Kwa biashara nilisikia pia.. unless uuze chakula ambacho ni lazima mtu ale likely mgahawa nk.Dada mi Arusha ni nyumbani napajua vzr siongei kwa kutania nimetoka huko sio miaka mingi sana, Arusha hamna mazingira rafiki wa wajasiriamali wadogo wadogo kulinganisha na daslam
kwa taarifa yako life ya mkoani ni tamu mara elfu kuliko dar. Tembea uone namna mikoani watu wanaishi kwa raha bila stress za vyakula visivyo na ladha, usafiri, hali ya hewa mbaya, makelele etcKuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile baridi ya mwezi wa sita mpaka nane mwanzon dadeq ukienda kuoga unakiosha kichwa baada ya hapo ni mwendo wa nyeto tu maji ya baridi kinoma! Sema Kuna mda namiss Yale maisha ila nkikumbuka tafuka fukaraKwa biashara nilisikia pia.. unless uuze chakula ambacho ni lazima mtu ale likely mgahawa nk.
Ila duka, utasikia mtoto anaambiwa aende kwa Mangi, Masawe. Wa kuja lazima asitoboe
Wakuja na ajira mtuache tu na mkoa wenu.. naupenda 😂😂
Sema baridi ikija nauchukiaa..
Baridi inaishia sasa, tunashukuru...hapo kati ilikuwa mpk fog aisee. Lazima udate 😂😂Ile baridi ya mwezi wa sita mpaka nane mwanzon dadeq ukienda kuoga unakiosha kichwa baada ya hapo ni mwendo wa nyeto tu maji ya baridi kinoma! Sema Kuna mda namiss Yale maisha ila nkikumbuka tafuka fukara
inabidi nitulie Kwa hawa watoto wa chalamila wanaokula chipsi na kuvaa vibukta
😁😁Ngoja nizisake nije kujenga kasri huko...jasiri haachi asiliBaridi inaishia sasa, tunashukuru...hapo kati ilikuwa mpk fog aisee. Lazima udate 😂😂
Koti ndefu kama tuko Ulaya 🙌
Ukiwa mzawa sio shida sana bana kwenye ujasi ukilinganisha na wa kuja.
Kuna watu wanaishi mkoani mashi yao safi kuliko wewe unae hesabu magali na maduka na maghorofa ya watu darKuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app



Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kingine mangi 😅😅😅Mwili wangu utarudishwa mkoani 😁ila tuacheni utani dar pana fursa nyingi bn, hv wanangu wa kilimakyaro ukiacha soko la memorial na kuendesha bajaji kuna fursa gani nyngn?
Haya Arusha sasa usipoendesha piki piki na kuuza gadgets utafanya nn kingn
Uchafu,upi unaouzungumzia mkuu,unaweza ukauainisha hapa na Sisi tuujue,tupo hapa kuelimishana sio kuponda au kukashifu mikoa.Uchafu uchafu uchafu.... ukiondoa majalalani sehemu nyingine inayofuata kwa uchafu ni mkoa wa Dar... naked truth
Kwa DAR si mkoani?Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mtoa mada alitangulia Ku defend point yake kua Tz yote ni masikini afadhali ya DSM pale ndio Tz ilipo kwa maana ya pesa,exposure, starehe,deals,almost everything you people wanted in this life ukitoa mashamba vyote vipo DSM.mikoani hakufik hata robo kivyovyote hata pop ya DSM ni Kubwa kuliko sehem nyngne yyte😀😀😀Watu wa Dar Magufuli kawajengea flyover na Daraja baharini wanapigia picha na kufanya jogging wanaona watz wengine wajinga
Watoke waende hata Nairobi wapate exposure waache ushamba
Tuendelee kupiga pesa tujenge ghorofa lyamungo sinde🤣Hakuna kingine mangi 😅😅😅
DSM ni centre ya Tz,ili mambo yako yoote Yanyooke has a biashara lazima dar ihusike,either kwa kwenda au kwa kuagiza but DSM lazma ihuske.Kwa DAR si mkoani?