Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Mapembelo vhavene
Makete sijawahi fika though mzazi mmja ana asili ya huko kwa babu zake but huduma zote zinapatikana I never heard about them complaining be in makete.
Mwisho wa mwaka inabd nipate trip na mm kwenda huko kwa kina Binamu .
Huko hadi hotel zipo hapa wakinga hawajazingua kinachotafutwa kkoo na kule knaenda makete kama uswiswi tu
Vavene Jomba, hulongu.
Mimi nipo Dar es Salaam nina miaka zaidi ya 10 sijaenda Njombe.
 
Kutoboa unaweza ila ni long time investment ,DSM pesa ni
( easy come,easy go)
Only those with highly monetary discipline can be successful.
Tofauti na mkoa matumizi ya pesa ni madogo ,na generative income ni ndogo pia .
Wewe huwezi kujidanganya mimi! Tatizo la Dar ili uweze kumfanya uwekezaji unahitaji mataji mkubwa kutokana na Gharama za kuanzisha investment! Mimi nimekaa kidogo njombe na Kahama nakuhakikishia vijana wa njombe na kahama wanawazidi mbali sana vijana wa Dar!
Tembea ujionee ndo maana na Mo Dewji alisema vijana walioko Dar wanauwezo ndogo sana wa Uchimi ukilinganisha na mkoani!
 
Vavene Jomba, hulongu.
Mimi nipo Dar es Salaam nina miaka zaidi ya 10 sijaenda Njombe.
Yeah,makete pako bomba sana kama Upo DSM nafkri unaona namna wanavyopambania nyumban kwa vyama vyao matajiri wanajenga shule, hospital na miradi mingne bla kutegemea serikal hata nyumba zao au za wazaz wao ni nzuri uko Bush lakn unastay at ur comfort zone like Upo town.Makete kuna Investment za kutosha
 
Then we come to monetary discipline, mtaji sio tatzo kuna madalali ambao hawana ofisi wa shinda nje ya maduka but wanapiga hadi ganji za million kwa sku hadi zaidi japo sio every day
Wengi wamekosa nidhamu ya pesa sababu ya starehe
Kama umekaa DSM and unaijua vzuri kkoo basi sio mgeni wa nnachokisema na wingas au madalali ndo mtaji wa maboss sasa #MALIKAULI mtu wangu
Usipoumiza akili huku lazima uchoshe mwili urudi kwenu sigimbi ukalimeeee weeee uvune ndo upate mtaji urudi mjini
Wewe huwezi kujidanganya mimi! Tatizo la Dar ili uweze kumfanya uwekezaji unahitaji mataji mkubwa kutokana na Gharama za kuanzisha investment! Mimi nimekaa kidogo njombe na Kahama nakuhakikishia vijana wa njombe na kahama wanawazidi mbali sana vijana wa Dar!
Tembea ujionee ndo maana na Mo Dewji alisema vijana walioko Dar wanauwezo ndogo sana wa Uchimi ukilinganisha na mkoani!
 
Kweli kabisa uzi uishie hapa inatosha kisema kwamba mtafutaji atatafuta popote na ataenjoy ila magoli kipa lazima waone maisha ya dar mazuri kwakua wanaletewa
😁😁 karibuni sana mjomba mje mjaribu kua magolikipa ,tuone wanaowaletea ni kina Nani
Lastly I can say DSM watu wapo busy 24/7 nyinyi wa sinjilili mnaishi kwa story tu kuhusu DSM hamuijui vzuri
Kama unaijua vzuri prove hapa point yako utueleze ni kwa namna gani magolikipa wanaletewa.
Au ndo point yeboyebo za watu wa mkoa
 
Then we come to monetary discipline, mtaji sio tatzo kuna madalali ambao hawana ofisi wa shinda nje ya maduka but wanapiga hadi ganji za million kwa sku hadi zaidi japo sio every day
Wengi wamekosa nidhamu ya pesa sababu ya starehe
Kama umekaa DSM and unaijua vzuri kkoo basi sio mgeni wa nnachokisema na wingas au madalali ndo mtaji wa maboss sasa #MALIKAULI mtu wangu
Usipoumiza akili huku lazima uchoshe mwili urudi kwenu sigimbi ukalimeeee weeee uvune ndo upate mtaji urudi mjini
Wewe kwa akili zako za kidalali na ganji hutatoboa! Na unaposema sitimbi mi nkushangaa! Saizi hata mikoani huko poa tu! Mtu akiwa Arusha,Mwanza au Mbeya unaweza kusema yuko sitimbi? Dar wanaofeli ni wengi kuliko wanaotoboa!
 
😁😁 karibuni sana mjomba mje mjaribu kua magolikipa ,tuone wanaowaletea ni kina Nani
Lastly I can say DSM watu wapo busy 24/7 nyinyi wa sinjilili mnaishi kwa story tu kuhusu DSM hamuijui vzuri
Kama unaijua vzuri prove hapa point yako utueleze ni kwa namna gani magolikipa wanaletewa.
Au ndo point yeboyebo za watu wa mkoa
Pole sana ila nikukaribishe kigamboni. Sio kila alieko hapa mjini lazima awaponde walioko mkoa. Huenda unakula kwa shemeji unakaza mishipa kuchakaza keyboard😂😂😂
 
Na hakuna mji wenye watu maskini kama dsm unaposema watu wako busy 24/7 ukumbuke ni wale wenye mipango yao na sio ww usije ukajilinganisha na hao wapambanaji. Hata akili yako inaonyesha bado huna cha kupambania
 
Yaani Huyu jamaa ana generalize kana kwamba Dar ndo sehemu pekee watu wana hela na biashara kubwa!
Hafikiri kuwa watu wako ka Tunduma,Arusha,Mwanza,Kahama,Mbeya na maeneo mengine watu vitu vya kutisha!
Tatizo wakikutana kitambaa chepe wanajua mikoani wote ni maboya!
 
Pole sana ila nikukaribishe kigamboni. Sio kila alieko hapa mjini lazima awaponde walioko mkoa. Huenda unakula kwa shemeji unakaza mishipa kuchakaza keyboard😂😂😂
Si umeona mliozoea kuja mjini kwa Dada Zenu,mnakua mnaleta personal attacks
Hahahaaa,asante boss wangu no hard feelings, kigamboni sehemu gani mkuu maan now nipo mkoa ili nikirudi nikutembelee
 
Na hakuna mji wenye watu maskini kama dsm unaposema watu wako busy 24/7 ukumbuke ni wale wenye mipango yao na sio ww usije ukajilinganisha na hao wapambanaji. Hata akili yako inaonyesha bado huna cha kupambania
I'm always busy sijabahatka kuishi dunia ya kutapatapa all time. Nikiwa DSM mpka sometimes nataman npate hata wiki moja nkapumzke nkuulize unafanya shughuli gani dar es salaam?
 
Hahaha acha shobo
 
Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mimi Dar siipendi kabisa.Ninapenda sehemu tulivu niishi kama Rungwe kule au Kigoma mjini pale karibu kabisa na ziwa Tanganyika.
 
Tena mi nikwambie tu kwa Dar kama huna akili ya kuwekeza na kusimamia unachofanya hutoboi!
Mwaka 2019 nilikuwa naenda Lusaka nikapita hapo Tunduma kwa jamaa zangu nikwambie nilijionea maendeleo ma kubwa sana hao vijana wanayo!
Ukitaka kujua tembea nchi hii ndo maana hata Marekani licha ya kuwa na mji wao mkuu wa kibiashara Newyork lakini bado kuna maeneo yanauchumi mkubwa kuzidi Newyork yenyewe kama jimbo la California!
Na hakuna mji wenye watu maskini kama dsm unaposema watu wako busy 24/7 ukumbuke ni wale wenye mipango yao na sio ww usije ukajilinganisha na hao wapambanaji. Hata akili yako inaonyesha bado huna cha kupambania
 
Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wanaishi Endabeg Mbulu huka karibu na Dareda, wana utajiri kuzidi ukoo wenu wote toka kuumbwa kwa Ulimwengu.

Dar es salaam is just a big, dirt shopping mall ambapo unaweza kuwa na harakati nzuri za Business, ila sio kila kitu.
 
I'm always busy sijabahatka kuishi dunia ya kutapatapa all time. Nikiwa DSM mpka sometimes nataman npate hata wiki moja nkapumzke nkuulize unafanya shughuli gani dar es salaam?
Hahaha ww kuwa busy kuskiliza dada ako akiguguna chumbani. Kuhusu shughuli nipo nipo tu na si vyema kujua kwakua ww upo busy 24/7
 
Back
Top Bottom