Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

SidhanI,kama anamaanisha watu wote waje mjini hapana but at least kuwe na improvement ya living standards za watu,watu wanaishi like wako 60's huko
Mbn kuna vijiji viko ndani but pesa iko,watu wanajenga vizuri and wako na exposure ya baadhi ya vitu.
Wewe unafikri kwa hali kama hii utamueleza nn Mdimi wa njombe kuhusu KATIBA MPYA,BANDARI, akuelewe ikiwa hana exposure ya vitu hvyo na anaona havina msaada katika maisha yake?
Angeweka wazi kuwa wawe wanatembelea mjini ila sio kuishi kama alivyosema mkuu
 
Mwili wangu utarudishwa mkoani 😁ila tuacheni utani dar pana fursa nyingi bn, hv wanangu wa kilimakyaro ukiacha soko la memorial na kuendesha bajaji kuna fursa gani nyngn?

Haya Arusha sasa usipoendesha piki piki na kuuza gadgets utafanya nn kingn
Utakuwa mmasai mlinzi 😏😏
 
Kuna watu wanakaa Dar es Salaam na watu wanakaa daslama kama watu wa yombo vituka
 
Sasa mliolewa dar mtapemdaje mkoa?

Wafirwaji dar mnalipwa vizuri huku mkoa utafirwa na hutapata faida kwann kusiwe kutamu dar?
Khaaaaa

Ila watu wa JF mnapenda vayolensi 🤐🙌
 
Utakuwa mmasai mlinzi 😏😏
Dada mi Arusha ni nyumbani napajua vzr siongei kwa kutania nimetoka huko sio miaka mingi sana, Arusha hamna mazingira rafiki wa wajasiriamali wadogo wadogo kulinganisha na daslam
 
Khaaaaa

Ila watu wa JF mnapenda vayolensi
Unajua ndugu yangu hata biblia imeruhusu kuujibu upumbavu sawasawa na upumbavu wenyewe. Mada ingekuwa ya kiakili unajibu kwa akili tu. Lkn hizi za hovyo tunajibu hovyo tu.
 
Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwadanganye vijana,

Ndo ninyi mbawaahidi KAZI, wakifika bus terminal mnazima simu,

Vijana wa dar Kila mtu ni dalali, anauza Kila aina ya bidhaa na Bei anzazijua!!!

Mali Iko shambani, saiz wakulima wanapiga ela.
 
Back
Top Bottom