Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Usiwadanganye vijana,

Ndo ninyi mbawaahidi KAZI, wakifika bus terminal mnazima simu,

Vijana wa dar Kila mtu ni dalali, anauza Kila aina ya bidhaa na Bei anzazijua!!!

Mali Iko shambani, saiz wakulima wanapiga ela.
Mkuu wote, hatuwez kulima tusubiri mwaka au miez kadhaa ndo tuvune tupate pesa,yes we agree some of us ni madalali 😁😁 but that's a professional kukiandaa kichwa mpaka kizame kingi sio mchezo if you Think it's simple karibu uwe dalali town hatuna hiyana.
Hao wakulima wakipiga hela lazma watutafute wanunnue pikpiki,Bajaj na magari.
NB;Pesa ipo sehemu yoyote lakini DSM ni connection ya Ku link watu wote Tz
 
Sasa tukijazana wote hapo kwa jiji la Albert si patazama hapo alaf tutashindia kula samaki tu maana kulima hamlimi hapo mnalima lami
DSM haiwez kujaa ,pale ni survival for the fittest mnakuja kumi mia wanasepa
Adapt to survive ,ukishindwa Morogoro road Inakuhusu.
 
Ni kweli usemalo, hii nchi ni hovyo sana, na huwezi kuona uhovyo wake kama bado uko ktk umasikin na vifungo vya ufukara.

Pata pesa hata kidogo tu utagundua haya
Usafiri wa haraka wa shida
Huduma za kijamii za shida
Namaanisha, ukiwa na pesa huwezi kuenjoy safari za hapa na pale kama mpaka leo hii nchi ina njia za usafiri za hovyo, huwezi kuenjoy pesa zako kama suala la mitandao na huduma za intaneti ni hovyo, huwez kuenjoy pesa zako kama huduma za digital+international banking bado ni hovyo yaan digital baking hazijawa developed kama wenzetu Kenya

Huwezi kuenjoy maisha kama suala la safari za anga kwa abaadhi ya sehemu bado ni shida, unakosa kufanya utalii wa nchi yako kisa kuna uhaba wa mifumo mizuri ya usafirishaji.

Huwez kuenjoy pesa zako kama mpaka leo hii nchi hii kuna bidhaa ni adimu kuzipata ilihali zilishatengenezwa miaka ya nyuma huko.

Kiufupi hii nchi ukiwa na hela inakera sana, tujitahidi kutafuta pesa tuboreshe maisha yetu, haya maisha ya sasa sio powa kabisa, waTanzania wengi huko mikoani wanaishi maisha ya ufukara na umasikin wa kutisha, hawashituki wala hawaambiliki maana wameshauzoea ufukara na kuona ni sehemu ya maisha yao.

Ukitaka uone utofauti, tembelea majiji nchi za wenzenu huko na uje hapa Bongo, kwa hakika utauchukia umasikin.
 
Mkuu wote, hatuwez kulima tusubiri mwaka au miez kadhaa ndo tuvune tupate pesa,yes we agree some of us ni madalali 😁😁 but that's a professional kukiandaa kichwa mpaka kizame kingi sio mchezo if you Think it's simple karibu uwe dalali town hatuna hiyana.
Hao wakulima wakipiga hela lazma watutafute wanunnue pikpiki,Bajaj na magari.
NB;Pesa ipo sehemu yoyote lakini DSM ni connection ya Ku link watu wote Tz
Ni kweli lakini kujidanganya kuwa tofauti na Dar watu hawatoboi! Uchimi wa Dar umeshikwa na watu wachache waliobaki ni full kudunduliza!
 
Of,course kuna maisha tofauti sana tena ndani ya Tanzania mja hii hii,Hasa DSM na mikoa mingine a very huge different
last two weeks kuna kijimchongo flani hv nlikua assigned kuja kufanya huku country side.

1.The place ni totally bush,no social services at all na ikipatkana ni kwa ubora hafifu sana yani F grade.

2.Mwamko wa kibiashara upo chini sana licha ya fursa zinazopatikana.

3.Huduma za chakula ni mbovu kabsa migahawa ya kuhesabika,chakula kbovu,usafi ni zero na ukarimu kwa mteja.
just imagine kijiji kizima menu ya chakula ni wali maharage,ugali maharage no dagaa,wala udambu udambu mwngne mapishi ni 0.Asubuh hakna chapati ni maandaz tu magumu,tasteless,mafta mengi.

Kama hapa nlijtahd sana kudodosa kwa ka binti kamoja of course kana jitahd kupka,usafi,and everythng katokea pwani so atleast kaleta mapish tofauti bt wachache ndo wanakula due to facts that;
chai ikiwekwa viungo kama iriki,mdalasini na karafuu wakazi wanasema unaweka dawa hawaji.
huku kula nyama ni mthani sahau,Bwana Ng'ombe anachinjwa mara moja kwa wik au anaweza asichinjwe kabisa wazee wa liqour with soup huku mmeisha.
Cha ajabu mgahawa wowote ule hata uwe mbaya vp haukosi TV ndani,hauna TV hauuzi hili nime experience kpnd ambacho TV ya binti ilikua imeharibika wateja wakiingia wanatoka na kuambizana hana TV twend sehemu nyngne dah,inafurahsha na hapo wanaagza ugali maharagwe au wali maharagwe bt wanataka wa buy time mgahawani kwa masaa kadhaa wakiangalia TV badala ya kula na kusepa kupisha space kwa watu wengine wapate huduma.

3.Watu wa huku ni wachafu totally ile totally yan si wanaume wala wanawake.Matumizi ya vyoo ndo usiseme wako disqualified wanafaa wachimbiwe vya shimo.

4.Pombe wanajtahd kunywa 24/7 bt humo bar ni harufu ya uvundo you can't enjoy the liqour,
Waitress ni wachafu kabsa yaani,hawakupi hamasa ya kuendelea kuwepo hapo unasema bora nirud lodge bdo the same situation mtu limekuja na rafk yake kila mtu kachukua rum yake ucku yakmalza kuzagamua yanaanza kuitana kwa sauti yani ni walevi hovyo.They ain't civilized at all.

5.Huku vijana wa tano wote wanamfuata demu mmja at the same time kila mtu anajipigia pande.Nkachoka kabisa

6.Ukiwa mgeni,unajulikana and people wanakushangaa kama wameona mzungu maana kijiji ni kidogo mno bt wanajtahd kuchangamkia watu wapya.Kuna ka U VIP flan una experience.

7.Maduka hayana mpangilio humo humo,Nguo,mahtaji ya nyumbn,hardware,vyakula,pombe humo humo.

8.Huku Uzinzi ni general order maana baridi ni kali sana had ukiingia bar unakuta jiko la mkaa ndani kwa ajil ya wateja.

9.Huku upend uspend utajfunza mother tounge yao maana kiswahili ni kama second language huku.

10.Mtandao haukamati ni only TIGO ,other networks mpaka upande juu ya mti huduma za kifedha/ki benki hakuna ni cheche .

All in all dada wa lodge amekua mkarimu sana kwa kunipatia jiko la moto mara zote niwapo lodge na maji moto ya kuoga bila kusahau binti wa mgahawa kwani amekua aknpkia extra food tofaut na wateja wengne wamesaidia sana katika my existence huku.
But Tanzania hii hii kuna watu wapo nyikani,bt wana enjoy maisha yao bila stress na wana amani tele, just
waiting for the project to finish up so i can move out my testicles here.
NB.magari ni ya kusubiri kwa ratiba wakuu,
Nawasilisha kutoka mkoa wa njombe ndani ndani kijiji cha kidegembye wao wanapaita (SUPERMARKET).
Mkuu nimesoma mwanzo mwisho, kwa maelezo yako Makete tupo vizuri kuliko hayo maeneo wakati Kidegembye ipo karibu na Njombe mjini japo sijawahi kufika maeneo uliyopo.
 
Na unakuta mtu aliyeandika hivi katoka kushiba makande kwa mahindi yaliyolimwa Iringa na maharage ya Rombo...
 
Ni kweli lakini kujidanganya kuwa tofauti na Dar watu hawatoboi! Uchimi wa Dar umeshikwa na watu wachache waliobaki ni full kudunduliza!
Kutoboa unaweza ila ni long time investment ,DSM pesa ni
( easy come,easy go)
Only those with highly monetary discipline can be successful.
Tofauti na mkoa matumizi ya pesa ni madogo ,na generative income ni ndogo pia .
 
Of,course kuna maisha tofauti sana tena ndani ya Tanzania mja hii hii,Hasa DSM na mikoa mingine a very huge different
last two weeks kuna kijimchongo flani hv nlikua assigned kuja kufanya huku country side.

1.The place ni totally bush,no social services at all na ikipatkana ni kwa ubora hafifu sana yani F grade.

2.Mwamko wa kibiashara upo chini sana licha ya fursa zinazopatikana.

3.Huduma za chakula ni mbovu kabsa migahawa ya kuhesabika,chakula kbovu,usafi ni zero na ukarimu kwa mteja.
just imagine kijiji kizima menu ya chakula ni wali maharage,ugali maharage no dagaa,wala udambu udambu mwngne mapishi ni 0.Asubuh hakna chapati ni maandaz tu magumu,tasteless,mafta mengi.

Kama hapa nlijtahd sana kudodosa kwa ka binti kamoja of course kana jitahd kupka,usafi,and everythng katokea pwani so atleast kaleta mapish tofauti bt wachache ndo wanakula due to facts that;
chai ikiwekwa viungo kama iriki,mdalasini na karafuu wakazi wanasema unaweka dawa hawaji.
huku kula nyama ni mthani sahau,Bwana Ng'ombe anachinjwa mara moja kwa wik au anaweza asichinjwe kabisa wazee wa liqour with soup huku mmeisha.
Cha ajabu mgahawa wowote ule hata uwe mbaya vp haukosi TV ndani,hauna TV hauuzi hili nime experience kpnd ambacho TV ya binti ilikua imeharibika wateja wakiingia wanatoka na kuambizana hana TV twend sehemu nyngne dah,inafurahsha na hapo wanaagza ugali maharagwe au wali maharagwe bt wanataka wa buy time mgahawani kwa masaa kadhaa wakiangalia TV badala ya kula na kusepa kupisha space kwa watu wengine wapate huduma.

3.Watu wa huku ni wachafu totally ile totally yan si wanaume wala wanawake.Matumizi ya vyoo ndo usiseme wako disqualified wanafaa wachimbiwe vya shimo.

4.Pombe wanajtahd kunywa 24/7 bt humo bar ni harufu ya uvundo you can't enjoy the liqour,
Waitress ni wachafu kabsa yaani,hawakupi hamasa ya kuendelea kuwepo hapo unasema bora nirud lodge bdo the same situation mtu limekuja na rafk yake kila mtu kachukua rum yake ucku yakmalza kuzagamua yanaanza kuitana kwa sauti yani ni walevi hovyo.They ain't civilized at all.

5.Huku vijana wa tano wote wanamfuata demu mmja at the same time kila mtu anajipigia pande.Nkachoka kabisa

6.Ukiwa mgeni,unajulikana and people wanakushangaa kama wameona mzungu maana kijiji ni kidogo mno bt wanajtahd kuchangamkia watu wapya.Kuna ka U VIP flan una experience.

7.Maduka hayana mpangilio humo humo,Nguo,mahtaji ya nyumbn,hardware,vyakula,pombe humo humo.

8.Huku Uzinzi ni general order maana baridi ni kali sana had ukiingia bar unakuta jiko la mkaa ndani kwa ajil ya wateja.

9.Huku upend uspend utajfunza mother tounge yao maana kiswahili ni kama second language huku.

10.Mtandao haukamati ni only TIGO ,other networks mpaka upande juu ya mti huduma za kifedha/ki benki hakuna ni cheche .

All in all dada wa lodge amekua mkarimu sana kwa kunipatia jiko la moto mara zote niwapo lodge na maji moto ya kuoga bila kusahau binti wa mgahawa kwani amekua aknpkia extra food tofaut na wateja wengne wamesaidia sana katika my existence huku.
But Tanzania hii hii kuna watu wapo nyikani,bt wana enjoy maisha yao bila stress na wana amani tele, just
waiting for the project to finish up so i can move out my testicles here.
NB.magari ni ya kusubiri kwa ratiba wakuu,
Nawasilisha kutoka mkoa wa njombe ndani ndani kijiji cha kidegembye wao wanapaita (SUPERMARKET).
Mkoa wa njombe ni wa tatu nchini kwa per capita nyuma tu ya dar na Iringa...hao ni NBS lakini

Sijui tafiti zao wanazifanyaje

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwa na pesa unaweza kutengenza pepo yako hapo tandaimba wacha ushamba
 
Mkuu nimesoma mwanzo mwisho, kwa maelezo yako Makete tupo vizuri kuliko hayo maeneo wakati Kidegembye ipo karibu na Njombe mjini japo sijawahi kufika maeneo uliyopo.
Mapembelo vhavene
Makete sijawahi fika though mzazi mmja ana asili ya huko kwa babu zake but huduma zote zinapatikana I never heard about them complaining be in makete.
Mwisho wa mwaka inabd nipate trip na mm kwenda huko kwa kina Binamu .
Huko hadi hotel zipo hapa wakinga hawajazingua kinachotafutwa kkoo na kule knaenda makete kama uswiswi tu 😁😁
 
Mkoa wa njombe ni watu nchi kwa per capita nyuma tu ya dar na Iringa...hao ni NBS lakini

Sijui tafiti zao wanazifanyaje

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nimekaa mikoa kadhaa na vijiji kadhaa ila hapa mwisho wa reli,matajiri wa mbao hawa hela zao sijui wanapeleka wapi wanaishia kunywea Ulanzi tu
Huku mchina anawapiga tu pesa kwenye mashamba yao ya miti kwa ajili ya ujinga wao
Wajinga ni chakula cha wasomi SKU zote
 
Back
Top Bottom