James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
Nkasi ya wapiDuh Mimi Sasa nnaishi nkasi na mzawliwa wa tandahimba. Kwisha habari yangu
Nkasi ya wapiDuh Mimi Sasa nnaishi nkasi na mzawliwa wa tandahimba. Kwisha habari yangu
Sawa mfalme njoziSawa kijana ndio uwezo wako wa akili ulipoishia, just imagine unaongea vitu vya kufikirika.
Siku ukiwa mwanaume utaelewa ,uko sahihi kulingana na uvulana wako.
Failure to survive.
Kuna mikoa ipo kiulaya mkuu kuliko hata dsm., au unafikiri utitiri wa vijumba uchwara ndio ulaya?Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Madini sna mkuuThe soul is not where it lives, but where it loves.

😂😂😂Mnatudharau sana sisi wa mikoani..Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.
Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo ukipata Basha la huko chap unatokemea naloMotivation speaker hao usiwasikilize...ndoto angalau ziwe kuishi NYC, LA au London
Sent using Jamii Forums mobile app