Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe dsm waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa dsm tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa inakufanya uji feel comfortable popote

Wazungu wakija Tz wanaenda kukaa porini huko

wana enjoy nature,nyie mnabanana Dar tu
 
Mwili wangu utarudishwa mkoani 😁ila tuacheni utani dar pana fursa nyingi bn, hv wanangu wa kilimakyaro ukiacha soko la memorial na kuendesha bajaji kuna fursa gani nyngn?

Haya Arusha sasa usipoendesha piki piki na kuuza gadgets utafanya nn kingn
 
Of,course kuna maisha tofauti sana tena ndani ya Tanzania mja hii hii,Hasa DSM na mikoa mingine a very huge different
last two weeks kuna kijimchongo flani hv nlikua assigned kuja kufanya huku country side.

1.The place ni totally bush,no social services at all na ikipatkana ni kwa ubora hafifu sana yani F grade.

2.Mwamko wa kibiashara upo chini sana licha ya fursa zinazopatikana.

3.Huduma za chakula ni mbovu kabsa migahawa ya kuhesabika,chakula kbovu,usafi ni zero na ukarimu kwa mteja.
just imagine kijiji kizima menu ya chakula ni wali maharage,ugali maharage no dagaa,wala udambu udambu mwngne mapishi ni 0.Asubuh hakna chapati ni maandaz tu magumu,tasteless,mafta mengi.

Kama hapa nlijtahd sana kudodosa kwa ka binti kamoja of course kana jitahd kupka,usafi,and everythng katokea pwani so atleast kaleta mapish tofauti bt wachache ndo wanakula due to facts that;
chai ikiwekwa viungo kama iriki,mdalasini na karafuu wakazi wanasema unaweka dawa hawaji.
huku kula nyama ni mthani sahau,Bwana Ng'ombe anachinjwa mara moja kwa wik au anaweza asichinjwe kabisa wazee wa liqour with soup huku mmeisha.
Cha ajabu mgahawa wowote ule hata uwe mbaya vp haukosi TV ndani,hauna TV hauuzi hili nime experience kpnd ambacho TV ya binti ilikua imeharibika wateja wakiingia wanatoka na kuambizana hana TV twend sehemu nyngne dah,inafurahsha na hapo wanaagza ugali maharagwe au wali maharagwe bt wanataka wa buy time mgahawani kwa masaa kadhaa wakiangalia TV badala ya kula na kusepa kupisha space kwa watu wengine wapate huduma.

3.Watu wa huku ni wachafu totally ile totally yan si wanaume wala wanawake.Matumizi ya vyoo ndo usiseme wako disqualified wanafaa wachimbiwe vya shimo.

4.Pombe wanajtahd kunywa 24/7 bt humo bar ni harufu ya uvundo you can't enjoy the liqour,
Waitress ni wachafu kabsa yaani,hawakupi hamasa ya kuendelea kuwepo hapo unasema bora nirud lodge bdo the same situation mtu limekuja na rafk yake kila mtu kachukua rum yake ucku yakmalza kuzagamua yanaanza kuitana kwa sauti yani ni walevi hovyo.They ain't civilized at all.

5.Huku vijana wa tano wote wanamfuata demu mmja at the same time kila mtu anajipigia pande.Nkachoka kabisa

6.Ukiwa mgeni,unajulikana and people wanakushangaa kama wameona mzungu maana kijiji ni kidogo mno bt wanajtahd kuchangamkia watu wapya.Kuna ka U VIP flan una experience.

7.Maduka hayana mpangilio humo humo,Nguo,mahtaji ya nyumbn,hardware,vyakula,pombe humo humo.

8.Huku Uzinzi ni general order maana baridi ni kali sana had ukiingia bar unakuta jiko la mkaa ndani kwa ajil ya wateja.

9.Huku upend uspend utajfunza mother tounge yao maana kiswahili ni kama second language huku.

10.Mtandao haukamati ni only TIGO ,other networks mpaka upande juu ya mti huduma za kifedha/ki benki hakuna ni cheche .

All in all dada wa lodge amekua mkarimu sana kwa kunipatia jiko la moto mara zote niwapo lodge na maji moto ya kuoga bila kusahau binti wa mgahawa kwani amekua aknpkia extra food tofaut na wateja wengne wamesaidia sana katika my existence huku.
But Tanzania hii hii kuna watu wapo nyikani,bt wana enjoy maisha yao bila stress na wana amani tele, just
waiting for the project to finish up so i can move out my testicles here.
NB.magari ni ya kusubiri kwa ratiba wakuu,
Nawasilisha kutoka mkoa wa njombe ndani ndani kijiji cha kidegembye wao wanapaita (SUPERMARKET).
 
Back
Top Bottom