Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliopo mikoani ni waoga wa maisha na wanajipooza na wanawake wenyematako makubwa..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanaishi Tanzania moja ya nchi duni kabisa duniani, sasa badala angalau wawe DSM waenjoy raha za dunia. Unakuta mtu anaishi Nkasi au Tandahimba huko na bado ana elimu angalau ya chuo kikuu.

Mimi kukaa hapa DSM tu naona kama najikatili, nyie huko mikoani mnawezaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 huenda huko waliko kuna masrahi kuliko DSM
 
DSM vijana wanaishi maisha magumu Sana Sana Sana!! 90% ni hohehahe ila wanafosi kuonakana hawana shida!! Mm nikikaa dar Sana Sana nikammua kuvunja Kambi nikaja mkoani 2014!! Nadili na minsda hakika nilijuta kwann nilichelewa kuishi dar!!
 
VIONGOZI WANAHAMASISHA TUKAPAMBANE NA KILIMO MIKOANI NDIO KINA TIJA, HUKU WENGINE WANATUSHANGAA TUNAOISHI MIKOANI.
YANI BAADHI YA VIJANA WANAOISHI DAR WANATUSHAWISHI TULIOPO MIKOANI TUWAONE KAMA WANAISHI NEW YORK VILE.
 
Back
Top Bottom