Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande

Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi

Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
Ukiweza kujizuia kupumua, utashinda kuzishinda nyegeee
 
Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande

Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi

Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
mmh sidhani kama kweli... mimi kiasili kuhonga napenda tu, hii kitu i think ipo damuni... nina bahati ya kuhongwa na pia mimi napenda sana kuhonga(just in a free will)... from 21 nilianza kupenda kuhonga. Nina software kwenye pc yangu ya kumonitor tabia zangu zote za uhongaji. nakumbuka nikiwa na miaka 22 tu niliwahi mpa my girl 500k out of not being asked by her. just givin'. so nadhani ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom