Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

Maisha mafupi na hatuendi na hela mbinguni, ukipata nafasi ya kuishi we ishi, muhimu uishi kwa furaha ya nafsi si kwa kujibanabana.
 
Mnakumbuka kisa cha Yusufu alielazimshwa na mke wa mfalme wapige show show lakini Yusufu alikataa pamoja na genye za mke wa mfalme za kutaka kumbaka Yusufu unambiwa kijana alikimbia nje, ndipo mke wa mfalme akamsingizia amembaka mke ndipo mfalme akasema awekwe gerezani lakini biblia inatuambia Yusufu alitoka gerezani kwa msamha wa farao kwa kuweza kutafsiri ndoto alieiota farao huo ulikua ni mpango wa Mungu kumuinua Yusufu kwasababu alikwepa vishawishi vingi na Mungu alipendezwa nae,

Yusufu asingetenda uovu huu mkubwa, na kumtendea Mungu dhambi, Mwa. 39:7–12.
Hayo ni maandiko ya kimkakati bro, we unadhani wangeandika je .
 
Yaani lazima ujifunze kuacha na kuwa na kikomo kwenye mambo yasiyo kuongezea chochote kwenye uchumi wako especially masuala ya kufanya starehe, Tatizo wengi wetu hatuna nidham. Yaani kuanza ndo umeanza hakuna stop zaidi ya kuzidi kuongeza viwango siku baada ya siku...
 
Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi
Samahani, vipi kuhusu wewe ulitafuta suluhisho??

 
Samahani, vipi kuhusu wewe ulitafuta suluhisho??

bado
sijapata
nye@e ni mbaya nasisitiza kuliko wachawi
 
Ukiachana na kale kamsemo ka karibu tuzogoe tuzogoane, masai dada ni ID nyingine ya Binti wa zamani tu
Tuassume ni kweli, haya unatakaje? au nini kinakuwasha washa haswa?

giphy 43.GIF
 
Tamaa siyo lazima iwe hamu na ashiki ya ngono, maana kuna watu hawapendi ngono, lakini wanatamani kunywa pombe, kamari, kumiliki pamba kali, kumiliki gari za thamani, kutafuta sifa mbele ya jamii, kulimbikiza pesa bila kuzitumia nk.

Tamaa ndiyo inayofanya baadhi yetu tukimbie sana ili kupata pesa tukidhi tamaa zetu.
Tamaa ni maumbile ya mwanadamu
 
hii dhambi ya uzinzi ,uasherati ukikemea utaonekana kituko,na ndiyo kitu kirahisi shetani ujichukulia wafwasi,wengi ni tomaso hawamini mpaka kitu kimtokee na inakua too late ila amini nawaambia ni dhambi iliochukizo sana kwa mwenyezi Mungu ,ukitaka kufika mbali kimaisha acha uzinzi acha uasherati
 
Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande

Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi


Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
Weka mbinu kwa faida ya members...
 
Sidhani kama ni nyapu ndio zimemfilisi!

Biashara ya duka kufilisika ni dakika 0 hata kama huhongi..
Biashara ya kibwege sana ile
 
Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande

Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi


Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
Ngoja nicheke tu bila maelezo.

Maana ilitakiwa wewe mwenyewe binafsi utueleze namna nyege zilivyokutenda.
 
Back
Top Bottom