Mnakumbuka kisa cha Yusufu alielazimshwa na mke wa mfalme wapige show show lakini Yusufu alikataa pamoja na genye za mke wa mfalme za kutaka kumbaka Yusufu unambiwa kijana alikimbia nje, ndipo mke wa mfalme akamsingizia amembaka mke ndipo mfalme akasema awekwe gerezani lakini biblia inatuambia Yusufu alitoka gerezani kwa msamha wa farao kwa kuweza kutafsiri ndoto alieiota farao huo ulikua ni mpango wa Mungu kumuinua Yusufu kwasababu alikwepa vishawishi vingi na Mungu alipendezwa nae,
Yusufu asingetenda uovu huu mkubwa, na kumtendea Mungu dhambi, Mwa. 39:7–12.