Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,378
Reaction score
19,267
Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande

Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi


Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
 
,... ni ukosefu wa life skills tu, unaweza fanya unyanduaji wa mademu wazuri bila kufilisika au mtaji kuyumba, hawa wanahitaji STIPEND tu, kuhonga holela ni uzembe wa mwanume mwenyewe... "the world is living, suffering is your choice" ( "Pain is inevitable, suffering is optional")
 
katika haya maisha sikua najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande
baasi
nye@e ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi
ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
Kumbe hadi wanawake mnasumbuliwa nazo?
Nikajuani sisi tu!
 
Back
Top Bottom