KHM 1995
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 329
- 457
Mimi wa maana Hodii..Mbona nilishasemaga jamani.Ila nataka MTU wa MAANA.
Mimi wa maana Hodii..Mbona nilishasemaga jamani.Ila nataka MTU wa MAANA.
Hehehe muamala umesoma..
Hajataka kuonekana mtumba (cheap).hatari sana, juzi kuna kidemu kimeninyima namba na ndinga anaiona.. nimeshangaa sana
Mimi sina pesa ila nina mapenzi ya kweli.😃😃😃 Kama upo tayari kindly reach thru my PMs.
MTU wa Maana yukoje?Mbona nilishasemaga jamani.Ila nataka MTU wa MAANA.
Wapenzi mwenyewe ndio hao hao Malaya tu, unamtongoza mchana , usiku anakua haeleweki kabisaaa, fulu kudangaHujamuelewa mtoa mada haitaji Malaya anahitaj mpenzi
Mwanamke akiridhika na shoo kali anatulia. Mwanamke ambaye hajatulia hajapata tu wa kumtuliza.Wapenzi mwenyewe ndio hao hao Malaya tu, unamtongoza mchana , usiku anakua haeleweki kabisaaa, fulu kudanga
Acha tuHatari kubwa yani
Acha tuHatari kubwa yani
wew itakuwa una matatizo yako,hatari sana, juzi kuna kidemu kimeninyima namba na ndinga anaiona.. nimeshangaa sana
Ha ha sawa mkuu.. hii desemba acha nirudi kijijini kwanzawew itakuwa una matatizo yako,
rudi kijijin kwenu ulikokimbia bila kuaga vzur, huenda wazee wako hawakukumwagia mibaraka ndiomaana unazingua zingua tu.
rudi kwenu na vijizawadi kawaangukie goti wazee wako, then nenda sas mjini, iyo nyomi ya pisikali itakayo fulika hapo mageton kwako na huko inbox hakika utakuja kunishukuru,
pia usisahau kuniletea shukrani Mpesa/tigopesa
Zambi ya uzinzi haijawahi kuwa na faida yoyote ni jambo jema akatumia muda wake kumpata mwanamke mmoja wa kutulia nayewew itakuwa una matatizo yako,
rudi kijijin kwenu ulikokimbia bila kuaga vzur, huenda wazee wako hawakukumwagia mibaraka ndiomaana unazingua zingua tu.
rudi kwenu na vijizawadi kawaangukie goti wazee wako, then nenda sas mjini, iyo nyomi ya pisikali itakayo fulika hapo mageton kwako na huko inbox hakika utakuja kunishukuru,
pia usisahau kuniletea shukrani Mpesa/tigopesa
hahahahNilidhani nipo peke yangu. Nimebembeleza sn but ngoma nzito.
Sijui kwanini ipo hivi.
Juzi hapa nikajitoa mhanga nikamsimamisha binti njiani,nikaomba namba.Tukaanza kuelewana na chatting sana.Lakini kila nikimwambia njo tuongee tuelewane hapa home hataki, anazingua njoo uchukue ya vocha kanakuja mpaka nje.Twende out kanakubali,but kukamilisha mipango hadi ya kupeana tamu aisee kanasumbua na kushangaa kabisaaa.
Sasa nimaemua kufuta namba zake za simu na wadada wengine.Nimeamua kuishi na kujichinjia kuku na kula basi.
Ina maana hata hela zako hawazitaki?
Mbona nilishasemaga jamani.Ila nataka MTU wa MAANA.
Nakubaliana na ww Kwa asilimia Ila tofauti mm ni ke