Msaada: Naogopa kazi mpya

Msaada: Naogopa kazi mpya

Godwin peter

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
374
Reaction score
638
Habarini za humu wanajf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27.

Nilikuwa na kazi katika taasisi moja hivi ya private sector amabapo nilikuwa napewa mshahara wa sh 1,000,000 kwa mwezi, katika harakati zangu za hapa na pale nikawa naomba kazi kwenye taasisi nyingine bahati nzuri nikapata, ambapo mshahara sasa ni mara mbili ya wa awali pamoja na marupurupu, ila naogopa na nina wasiwasi nitazingua kwasababu kazi hii mpya inahitaji umakini sana na kuwa sharp ambapo mimi huwa naona na mapungufu.

Msaada wadau on how to go about it, hela ninaitaka ila naogopa maana hapa probation yenyewe miez 9
 
Kaa ulipo tu , kama ulipo ushajikita, pambana hapo .
Kuna dogo nilimtafutia kazi kwa showroom ya magari msahara +bonus alikuwa 1.2M hakosi kwa mwezi . Mazda na Honda wakaja wakitafuta wauzaji waliokomaa so wakamshawishi na 1.8M mshahara. Jamaa akajump ship kuendea hela , mwaka haukuisha akafutwa kazi na kubaki bila kitu . Pale alipokuwa zamani bado panaendelea mpaka leo . Be keen usipoteze vyote

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
So kama fursa imetokea tuiache?
 
Mkuu habari, naomba connection ya kazi za showroom.
Natanguliza shukrani
 
Kijana
Jitose kwenye kazi

Fanya kama kutongoza tu😁😁

Hujui kitakachotokea ila unatongoza

Unaweza pigwa kibao ila we unatongoza

Unaweza ukatukanwa tusi zito ila we unatongoza

Unaweza hata ukachaniwa shati ila wewe UNATONGOZA

Ila pia unaweza ukashangaa slope hii hapa mtoto akakubali hadi ukawa unajiuliza ulikua wapi siku zote hizo😂😂😂

Natumai utaenda kwenye hio kazi mpya
Hela hazionewi aibu mkuu
 
Uoga wako ndio umasikini wako za kuambiwa changanya na za kwako🐒
 
Kijana
Jitose kwenye kazi

Fanya kama kutongoza tu[emoji16][emoji16]

Hujui kitakachotokea ila unatongoza

Unaweza pigwa kibao ila we unatongoza

Unaweza ukatukanwa tusi zito ila we unatongoza

Unaweza hata ukachaniwa shati ila wewe UNATONGOZA

Ila pia unaweza ukashangaa slope hii hapa mtoto akakubali hadi ukawa unajiuliza ulikua wapi siku zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23]

Natumai utaenda kwenye hio kazi mpya
Hela hazionewi aibu mkuu

And how about mapungufu yangu
 
Kwenye kazi huwa hatuangalii mshahara tu ,bali tunaangalia mazingira ya kazi. Jinsi wanavyojali wafanyakazi pamoja na kubalance familia na kazi etc. Pia tunaangalia uwezekano wa kukua katika kazi, usiende tu kichwakichwa.

Nishaingia ila naogopa ogopa
 
Kwenye kazi huwa hatuangalii mshahara tu ,bali tunaangalia mazingira ya kazi. Jinsi wanavyojali wafanyakazi pamoja na kubalance familia na kazi etc. Pia tunaangalia uwezekano wa kukua katika kazi, usiende tu kichwakichwa.
Naunga mkono hoja!
 
And how about mapungufu yangu
Boss mapungufu kila mtu anayo

Watu tuliajiriwa vitu hatuvielewi tukaenda kujulia mbele ya safari mzee

Cha msingi ni usiwe mzembe tu

Labda uwe mmbovu sana ndo utaachishwa kazi ila vitu vidogo vidogo ni vya kueleweka

Ukibakia hapo kwnye huo mshahara kuna siku kitatokea kitu utajilaumu mara nyingi sana kwanini hukuhama

Bora uende ijulikane ilikuaje kuliko ukae kwa woga na mtu mwenyewe una expiriensi
 
Back
Top Bottom