Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

Nilidhani nipo peke yangu. Nimebembeleza sn but ngoma nzito.

Sijui kwanini ipo hivi.

Juzi hapa nikajitoa mhanga nikamsimamisha binti njiani,nikaomba namba.Tukaanza kuelewana na chatting sana.Lakini kila nikimwambia njo tuongee tuelewane hapa home hataki, anazingua njoo uchukue ya vocha kanakuja mpaka nje.Twende out kanakubali,but kukamilisha mipango hadi ya kupeana tamu aisee kanasumbua na kushangaa kabisaaa.

Sasa nimaemua kufuta namba zake za simu na wadada wengine.Nimeamua kuishi na kujichinjia kuku na kula basi.
Kwahiyo umeamua kununua sabuni na kuiweka bafuni?
 
FB_IMG_16378643138345861.jpg
 
Nilidhani nipo peke yangu. Nimebembeleza sn but ngoma nzito.

Sijui kwanini ipo hivi.

Juzi hapa nikajitoa mhanga nikamsimamisha binti njiani,nikaomba namba.Tukaanza kuelewana na chatting sana.Lakini kila nikimwambia njo tuongee tuelewane hapa home hataki, anazingua njoo uchukue ya vocha kanakuja mpaka nje.Twende out kanakubali,but kukamilisha mipango hadi ya kupeana tamu aisee kanasumbua na kushangaa kabisaaa.

Sasa nimaemua kufuta namba zake za simu na wadada wengine.Nimeamua kuishi na kujichinjia kuku na kula basi.
Hahahaha wadada wa hivi bana....i got the same situation for 2years....
 
Back
Top Bottom