Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Sula la mtu kujilipia matumizi yake sio jambo la kujadiliana, ni wajibu binafsi ambao kila mtu anatakiwa kuujua. Otherwise uambiwe kabisa njoo nitakulipia lakini usipoambiwa hata kama umepewa mualiko jua tu unawajibika kubeba bajeti yako utayoenda kuitumia.
Huo ndio ustaarabu, ila kwa bongo sahau, ukimtoa mtu anakuja na viungo vyake vya uzazi tu, hata nauli unaweza kuombwa.
 
Huo ndio ustaarabu, ila kwa bongo sahau, ukimtoa mtu anakuja na viungo vyake vya uzazi tu, hata nauli unaweza kuombwa.

Sasa mkuu wewe umeomba out, mbaya zaidi umejichagulia mahotel ya gharama huko fresh juisi ni 20k, wine 45k

Unataka ku share na nani hyo bili 😂.

Wazungu hua wana splits bili, ndo maana wakitoana out utakuta ni kahawa/Maji soft drinks maongez kwa sana.
 
Huo ndio ustaarabu, ila kwa bongo sahau, ukimtoa mtu anakuja na viungo vyake vya uzazi tu, hata nauli unaweza kuombwa.
Miaka ya nyuma kidogo kuna siku ilikua mkesha wa mwaka mpya demu mmoja hivi alinicheki akaniambia nimfate twende kwenye show ya cristian bella. Nikamwanbia poa lakini kila mtu atalipa bill yake na pia achangie kidogo mafuta ya gari. Yule demu alipotea hewani na conversation yetu ikaishia hapo
 
Wakuu,

Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari.

Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa kujali na kuthamini.​
Yani umeniomba tutoke halafu nije kuchangia jamani 😅
Muwe mnajitoa wenyewe kama pesa hazitoshi.
 
You got it wrong mkuu,

Ukialika mtu kwa out au date, upo responsible kwa kila kitu. Unaweza kumwambia mtu mtoke out for dinner, yeye akakuambia hayupo vizuri, kwanza hakuwa na plans za kutoka, lazima wewe ndio ujipange for everything.

Ila huyo mtu akikuomba date/out basi yeye ndio ana jukumu la kukupa wewe huduma ya vinywaji na chakula.

Lakini pia kuna ile ya kushare costs au kuchangia 50/50, hayo ni makubaliano yenu ambapo nadhani kwa Afrika hiyo ni taboo, haipo, ni wanawake wachache sana wapo willing kushare costs.
 
Wanawake wengi aren't obligated Kuchangia chochote, yeye ana taka wewe tu ushughulike mpk kitandani
 
You got it wrong mkuu,

Ukialika mtu kwa out au date, upo responsible kwa kila kitu. Unaweza kumwambia mtu mtoke out for dinner, yeye akakuambia hayupo vizuri, kwanza hakuwa na plans za kutoka, lazima wewe ndio ujipange for everything.

Ila huyo mtu akikuomba date/out basi yeye ndio ana jukumu la kukupa wewe huduma ya vinywaji na chakula.

Lakini pia kuna ile ya kushare costs au kuchangia 50/50, hayo ni makubaliano yenu ambapo nadhani kwa Afrika hiyo ni taboo, haipo, ni wanawake wachache sana wapo willing kushare costs.
Inakuwaje ata kachumbari ya 500 ashindwe?
 
Back
Top Bottom