Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

ww ndo umeamua kumtoa mtu mtoko kwa akili zako timamu,hii inashangaza alafu unataka achangie kivipi! Kasheshe kweli hii umetumwa ww ! Mie hata sumni sitoi haikuwa kwenye bajeti zangu mfukoni
 
Miaka ya nyuma kidogo kuna siku ilikua mkesha wa mwaka mpya demu mmoja hivi alinicheki akaniambia nimfate twende kwenye show ya cristian bella. Nikamwanbia poa lakini kila mtu atalipa bill yake na pia achangie kidogo mafuta ya gari. Yule demu alipotea hewani na conversation yetu ikaishia hapo
hilo lilikuwa jini mtu lingeenda kukuchuna ukauke kaukaaaaaa
 
Back
Top Bottom