Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Mimi natazama hilia swala kwa utofauti kidogo.

Anae alika mwenzake/Wenzake out ndo alipie bili.

Haiwezekani mwanaume mzima, Umebembeleza out kwa mtoto wa kike amekupa airtime tena unataka alipie huo ni ukichaa.

Kwenye mitoko yetu sisi Wanaume lazima tu splits billl.
Sula la mtu kujilipia matumizi yake sio jambo la kujadiliana, ni wajibu binafsi ambao kila mtu anatakiwa kuujua. Otherwise uambiwe kabisa njoo nitakulipia lakini usipoambiwa hata kama umepewa mualiko jua tu unawajibika kubeba bajeti yako utayoenda kuitumia.
 
Huo ndo uswahili sasa,

Kikao ukiite wewe, Meeying place uchague wewe, wahudumu uwaite wewe, nakauli zenu agiza chochote mama 😂

Halafu kwenye bili una sikilizia kama mtoto wa kike atajigusa, Huo sio u gentlemen.

Ndo nyie harusi mnapanga nyie, budgeti mnapanga nyie, ila michango mnalazimisha kutoka kwetu.
 
Back
Top Bottom