mtoko

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

    Wakuu, Inabidi kubadilika; kutolewa mtoko wa kwenda sehemu fulani si kupeleka mdomo na tumbo tu, bali pambana ata uchangie kachumbari. Hii itakujengea heshima na kukuonyesha wewe ni mtu wa kujali na kuthamini.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mtoko ya dharura inakuchukua muda gani kuwa umeshajiandaa?

    Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi. Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya muimbaji Christina shusho

    Tuliohudhuria mtoko wa pasaka huyu muimbaji Christina shusho hana ndugu? Mbona wasanii wakiwa na tafrija wakiitwa ndugu hujitokeza kwa wingi sana ...vipi kwa huyu dada yetu na mbona siasa ni nyingi kuliko muimbaji wake
  5. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

    Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi. Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Wakuu kwema? Kama tunavyojua watoto walivyo, hawana aibu, wanafanya kile wanajisikia kwa wakati huo, japokuwa kuna wengine wananya kukukomesha. Wanajua mama/baba huwa hataki kuninunulia kitu fulani mkifika supermarket anapiga kelele duka zima wanasikia analilia mdoli😂😂. Ama unajua mtoto wako...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Huwa kuna haja ya kuendeleza mahusiano ya one night stand ??

    Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado aliona ni mapema sana

    Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date) Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date. sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu. unaweza kudhani...
  11. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

    Habari gani watu wa nguvu..! Poleni kwa Majukumu ya siku nzima na kwa wale walioingia kazini usiku huu, Majukumu mema. Acha niende kwenye maada, katika karne hii ya 21 kuna mambo memgi yamejitokeza, Mengi mazuri na Mabaya machache. Moja ya mambo yaliyokuja kwenye karne hii ya 21, ni pamoja...
Back
Top Bottom