Wakwe na wazazi wangu naonana nao kila siku. hakuna safari hapa:dance::dance::dance::A S 103::A S 103:
Mkuu siku iz k'ndon, temeke na ilala ni mikoa kwa mujibu wa utawala wa igp, ukipanda kipanya kutoka karume hadi magomen umesafir kutoka mkoa m1 kwenda mwingine!nawaonea donge,sijawahi kusafiri mkoani,bibi babu,mama,baba familia yote ipo Dar japo kuwa ni asili ya tanga(nilikuwa namuona mama tu akienda tanga kwenye misiba), na nimezaliwa katikati ya jiji la kariakoo.nilikuwa nasononeka sana kila ifika mwezi wa 12 wenzangu wanaenda na wazazi wao mikoani.
Nimesafiri sana basi ujue nimepanda kipanya kwenda manzese kumtembelea cousin wangu,au mbagala kwa mama mkubwa.
Afadhali sasahivi nina maisha yangu,na mimi huwa napanda ndege kuja kutembea bongo. Ila still nahisi safari za mikoani zina raha yake.
Mkuu siku iz k'ndon, temeke na ilala ni mikoa kwa mujibu wa utawala wa igp, ukipanda kipanya kutoka karume hadi magomen umesafir kutoka mkoa m1 kwenda mwingine!