Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

mimi napanda mwafrica, faraja au luponde watu wa ludewa wanajua what im talking about.kaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwelikweliiiiiiiiiiiiiiiifaraja bus ndio kama prescion air kwa huku.
 
Mimi nikienda nyumbani Morogoro napanda ABOOD BUS, nikienda ukweni Arusha napanda GORIKA BUS....Endeleza na wewe mkuu....
mkuu unapanda gorika au ngorika? "
Mi kianza kwenda kwetu Namanga napanda Kampala coach haya mabasi ni mazuri kweli, kwa wale waliopanda wanajua
 
Mi napandaga Super Najminisa then naendapanda baiskeli zilizofungwa pillow nyuma tunaita dala dala mpaka kwetu Gambosh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom