Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

Mie napandaga MBAZI exp. Kwenda kwa wakwe A-town,
Kwenda kwetu Naching.... huwa napenda saaaana kupanda LIVAI exp, coz less costs,timely arrival and joyful journey,
SAFARI NI SAFARI
 
nipo arusha,nikienda kwetu kabisa handeni nakwea Hajees,nikienda home dar nikiwa na wife napanda dar express nikiwa single kilimanjaro express,nikienda mbeya ktk mishemishe zangu nakwea Hood.
 
mara nyingi navizia kwenda home wakati wa bunge so napata lift ya magari ya wabunge hadi dodoma mjini, nikikosa nachukua Shabiby ile ya saa tano. then nachukua ISUZU hadi Chilonwa downtown, then TZ 11 hadi home
 
home natoka magomeni mikumi hadi buguruni then buguruni to tabata sigara na drop hapo na kwa wakwe nakwea buguruni to chanika.
 
Mi bana natoka hapa hostel kwa miguu mpaka xcul!
Ila kwenda mwanza napandaga super sami!
 
mi napanda mohamed trans hadi Bukoba kutoka hapo kwenda kijijini kwe2 buzi napanda Trecta
 
Kwetu ifakara napandaga al saeed.... Kwa wakwe moro napanda al saeed. Kwa nyumba ndogo yangu mpwapwa napanda al saeed. Dar es salaam shopping napanda al saeed... Al saeed kwangu ni kama makamba na sisiem !!!
 
Daladala hadi mbagala, afu kipanya hadi kisarawe. Wakati wa kurudi nakwea lori kama nina mihogo mingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom