Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Mimi nikienda nyumbani Morogoro napanda ABOOD BUS, nikienda ukweni Arusha napanda GORIKA BUS....Endeleza na wewe mkuu....
 
bus la KAMATA-kampuni ya mabus tanzania!walijua wewe?

Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA) enzi ya 1970-80, mkuu mimi mkongwe, kwa Dar-es-salaam, ofisi zao zilikuwa pale Shoprite Supermarkets, zamani Pugu Road. sasa hivi Nyerere Road
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Yanini yote hayo...kuna vimandolini vingi tu vya kupanda kwetu Old Moshi....!!!
 
Kwani lazima upande bus tu?Siku hizi watu wanaself drive ..labda uzungumzie enzi zile za kusafiri usiku na kufika asubuhi
 
Mm nikishuka station (usafiri wangu treni), napanda Bunda basi then nadandia mchomoko huku nnmasikiliza BB King na simu yangu ya mchina
 
Kwani lazima upande bus tu?Siku hizi watu wanaself drive ..labda uzungumzie enzi zile za kusafiri usiku na kufika asubuhi

Mkuu kwa hiyo siku hizi mabasi hamna sababu kila mtu anaself drive? nimeona ata ubungo standi ya mkoa pamefungwa wanajenga machinga complex
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom