Kumbe ni bao la kwenye Futboli........Kwaheri :car:
agrrrry! Mi nilijua nanii bana!! Ngoja niendelee kumark daftari za form one hapa.
la mguu wa kulia maana mm situmii mashoto, maleft wanadai ni mkono wa ch...... ni wachache sanaKumbe bao gani ulitaraji kuliona?
Kwenuye hii kitu watu wengi watafikilia unamaanisha yale mabao ya kwenye uwaja wa sita kwa sita.