josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,047
Kwenye hii kitu watu wengi watafikilia unamaanisha yale mabao ya kwenye uwaja wa sita kwa sita.
Wengi watadhani hivyo, hata mimi nimenasa mtegoni!
Kwenye hii kitu watu wengi watafikilia unamaanisha yale mabao ya kwenye uwaja wa sita kwa sita.
Umeonaa eenhe!Aishaa eeee.. abeeee
Raha ya mechi bao ooooo!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Labda hili?
![]()
Umechoka na bbm naona upo JF now
Yaani hili bao hunifungi aisee
Ngoja nije nichonge la kucheza home nikumbushie enzi za kuchunga mbuzi
Kongosho umenikumbusha hilo bao, tukicheza home, kuna kakaangu mmoja alikua hafungwi na mtu mana hivyo anavofikiri utadhani yupo kwenye exam.
Sasa huyu mbaba Mande Likwepa mbona macho yote badala ya kuangalia kete yapo usoni kwa mke wa mtu.Yaani hili bao hunifungi aisee
Ngoja nije nichonge la kucheza home nikumbushie enzi za kuchunga mbuzi
hi every one I am a new member in here and wish you good lucky. But I am aware that I am in a wrong post for the introduction...any help about the appropriate post? apprec.