Ukitaka kupiga bao la uhakika tumia hii style

Ukitaka kupiga bao la uhakika tumia hii style

Wakati nafungua nilishajiandaa kusema mods hamishia jukwaa la wakubwa
 
Waliokuja na kufungua haraka lazima wanaangalia pono sana
 
Mi nilijua style yangu nayoikubali ya Popo kanyea Mbingu,,,,kumbe football ndugu.
 
.....?!"@ haya Mabao nayo.. Neno 1 maana kbao.. Ah kwa kher..
 
Watu walifikiri ni lile bao ukipiga unasinzia hapohapo.
 
Ukifanya hivyo unaweza ukachukua ubingwa
 
Ujinga huu, watu tunafungua ili tuusome uzi kwa spidi, kila siku tunaambiwa hatuna style nzuri, then unazingua[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mi ilianza hata kusisimka bhana.....kumbe ndo goli la aina hyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom