Aajahahh nilijua mie tuUjinga huu, watu tunafungua ili tuusome uzi kwa spidi, kila siku tunaambiwa hatuna style nzuri, then unazingua[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nimekuja spidi, nimeacha kazi zangu kwa kutegemea nitapata mastyle ya kumkunja shemela wake, kumbe bla bla bla[emoji16] [emoji16] [emoji16]Aajahahh nilijua mie tu