Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,093
- 859,233
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu..
au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi.
VAR ikasema hilo "Bao la Mapema" ni sawa na timu kufunga ndani ya sekunde ya 30,, bao linapatikana.
Mashabiki wanabaki kusema kuwa huyo mchezaji ana " mapafu madogo" na anahitaji kufanyiwa sub ya haraka kabla kipindi cha kwanza hakijaisha.