Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,758
Mwanamke alie mtandaoni, competitors wanakua wengi.
Wengine wamekuzidi hela na maneno.
Kumbe
Mwanamke alie mtandaoni, competitors wanakua wengi.
Wengine wamekuzidi hela na maneno.
Tiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktokKunaa manzi yangu amenilazimisha sana nijiunge huko ila wapi naona kuna malaika ananiambia kabisa ukiingia tiktok mimi na wewe basi
😂😂😂😂Mhmm usioe usioe kama hakuna ambae hana hizo sifa wakuoe wewe ?
Hivi Brooh, kwani tiktok ina shida gani? Mie naona watumiaji ndo tatizo.Tiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktok
Hadi sasa tofauti na JF utanikuta tiktok
Unataka uoe malaika?Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Ni kweliMwanamke alie mtandaoni, competitors wanakua wengi.
Wengine wamekuzidi hela na maneno.
Namba 4 na namba 7 zinanitesa sana ila nimeshamsoma vizuri hanisumbui. Piga block kila kona hadi aelewe somoDuniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Hapana simaanishi malaika naamanisha Mwanamke mwenye mapungufu yanayoweza kuvumilika na kurekebishika.Unataka uoe malaika?
Kwanini Kiongozi?Na kwakuzingatia hayo usioe kabisa Yani namaanisha USITHUBUTU
Inakera sana KiongoziNamba 4 na namba 7 zinanitesa sana ila nimeshamsoma vizuri hanisumbui. Piga block kila kona hadi aelewe somo
😂😂😂Yani nisioe mwanamke mwenye chura? Never
Simaanishi vya nyumbani kwao viwe msaada Kwako naamanisha kwao kukiwa na unafuu itakupunguzia mzigo Kwako wa kuwa tegemezi wa moja kwa moja.Hiyo point namba 4 imefanya ndoa nyingi sana kuwa taabani.
Uliza wanaume ambao wameoa wanawake ambao kwao kuna nafuu usikie balaa.
Mwanamke ili awe anatawalika,lazima umzidi vitu kadhaa,sio kwa bahati mbaya au kidogo bali ni kwa tofauti kubwa.
Umri,elimu,uchumi.
Mali unayoipata kutoka kwao inatakiaa iwe yeye tu,sio unapigia mahesabu na ng'ombe zao,zitakutokea puani,kaza kiuno tafuta vitu vyako,kuna ifahari fulani kwenda kwao ukiwa msemaji,japo sio lazima uwe wa mwisho ila una sauti.
😂😂😂Sio kazi rahisi kiasi hicho.
Hivi Brooh, kwani tiktok ina shida gani? Mie naona watumiaji ndo tatizo.
Kwangu binafsi. Tiktok naona km YouTube tyuuh