Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia

1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili

2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat

3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri

4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao

5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza

6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba

7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.

8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji

9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano

10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho

11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
12. Usioe nwanamke anatumia JF
Kama umeweka hayo kwa nini upate kigugumizi cha kuzushia wana JF
 
We jichanganye tu kwenye mahusiano kila mwanamke ana wanaume 4
1. Mwanaume aliyemtoa usichana wake

2. Mwanaume anayemtamani

3.mwanaume/Ex ambaye hawaachani

4. Kuna wewe uliyenaye sasa
 
Tiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktok

Hadi sasa tofauti na JF utanikuta tiktok
Sijiungi tiktok mpaka nife mtandao wa watoto wewe utakua below 22/23 ndio mtandao wenu sisi watu wa above 40 hatuwezi kukaa huko hata kwa bure
 
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia

1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili

2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat

3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri

4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao

5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza

6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba

7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.

8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji

9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano

10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho

11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Hapo kwenye namba 1 na namba 10 kuna ukakasi.
Utamkagua vipi ili ujue kama ametembea na wanaume zaidi ya wawili.
Mtu kuvaa miwani ina uhusiano gani na masuala ya mapenzi?
Hapo kwenye namba 5 ni kweli uko sahihi yalishawahi kunikuta
 
wanawawake ndio hawa hawa, wanabadilika kutokana na mazingira, hujui kuwa wanawake walioko kwenye ndoa ndo wacheza vikoba maarufu, unafikiri watampa uongozi wa vicoba bachela?

Wanawake utawazuia kuingia tiktok na instagram kwani hujui asili ya mwanamke ni kufuatilia udaku udaku na umbea? Oa mwanamke msikivu anayejitambua na mwenye kutambua nafasi ya mume katika maisha yake, wengine huko instagram na tiktok wanafanya biashara za bidhaa mbali mbali

Eti usioe wenye makalio hivi hujui makalio ni maumbo ya kiafrika kwa wanawake, fanya utafiti English figure ni wachache kuliko bantu figure, wewe Kama uwapend acha wanaowapenda waoe, cha msingi zingatia tabia na mwenendo
 
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia

1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili

2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat

3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri

4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao

5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza

6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba

7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.

8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji

9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano

10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho

11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
12. Usioe mwanamke mwenye IQ ndogo. Watoto kwa asilimia kubwa hurithi uelewa kutoka kwa mama.
 
Mimi pia mwaya.
Nakumbuka usemi wako pendwa, hata ukiwa na mawazo vipi, wanawake tusisahau kumwaga kojo :uwotWater::uwotWater::uwotWater: kitandani au sehemu yoyote tukitiwa vizuri na mubaba au mukaka.
Ila wewe 😅😅😅🙌🙌🙌
Kumwaga kojo lazima 💦 ila haya maneno huwa nasema nikiwa nimenyegeka haswa, kwa sasa kichwa kiko sawa, joto halijapanda 🤣🤣🤣🤣
 
Msijali dada zetu kila mtu kaumbiwa wa kwake wa kuolewa nae,,Hzo tabia zote zilizotajwa kuna mtu ukiangalia tu mtaendana hvohvo,,ndo mana single maza wa watoto watatu anaolewa na single father wa watoto wa4,,mwenye nyimbo za singel anaolew na DJ au msimamiz wa night club,,
"you are the missing piece to someone's puzzle"
Ulichoandika hapo ni day dreaming, social dynamics zimebadilika sana
 
Kuna mambo hapo nakubali kuna mambo nakataa. Ila moja la uhakika kwa sasa bado kete yangu imebaki kwa wana wa KATAA NDOA
 
Ulivyotaja vyote ni vya miaka ya 90 ,Hakuna anayejielewa anaweza kushaurika na hoja zako.
 
Back
Top Bottom