Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Msijali dada zetu kila mtu kaumbiwa wa kwake wa kuolewa nae,,Hzo tabia zote zilizotajwa kuna mtu ukiangalia tu mtaendana hvohvo,,ndo mana single maza wa watoto watatu anaolewa na single father wa watoto wa4,,mwenye nyimbo za singel anaolew na DJ au msimamiz wa night club,,
"you are the missing piece to someone's puzzle"
 
sasa kama hii 40
5af38451e4a9441aab9138674f557667.jpg
 
Kuna
Binti kil mara mara yeye ni kuniita maneno ya mahaba kila mara ila kuna siku aliniomba hela ya simu nikamkazia baada ya hapo mawasiliano yamekuwa unatafuta kwa tochi! Na mwingine alitaka nimpe mahari ya 1.5M wakati ni mshangazi wa miaka 28 nimesema No
😂😂😂
 
Back
Top Bottom