The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,216
- 103,134
Itabidi usubiri wale wanawake watakao tengenezwa na ELON MUSK.
We huoni avatar yake anavyorembua.Mhmm usioe usioe kama hakuna ambae hana hizo sifa wakuoe wewe ?
Unaogopa wanawake kama ukoma , acha hizo bwashee.Ok Mimi Ni Black soul Siolewi Ila Naoa.
Madogo wanafanya generalisations za ajabu kwamba ukiona hivi basi umeshaona vile watu wanaoa mpaka ma-bar mengi wenye mizinga mikubwa ya nyuki kule nyuma wamepakia masega ya asaliHahhaha maumivu ya mapenzi tu , madogo wanateswa sana
Kunaa manzi yangu amenilazimisha sana nijiunge huko ila wapi naona kuna malaika ananiambia kabisa ukiingia tiktok mimi na wewe basiShida ya tiktok ni ipi?
Kijana mdogo kabisa , rika na kijana wangu anatufokea na kutupangia namna ya kuoa😅We huoni avatar yake anavyorembua.
Sasa hawa tukiwatomba sisi wengine si ndio tunasikia raha
Unatushauri au unatufokea Mzee wetu hivi kweli tupite mbali hapa tusitundike daruga Mzee?
cutelove
Kuna wavulana na Kuna Wanaume kwenye Maisha sikumbuk Kama nishawahi Kuwa mvulana na sio miongoni mwa uliowataja hapo juuWavulana wa sasa ni dhaifu sana kwa wanawake , nyie wenye hii misimamo unakuta mmepigwa matukio na vinuka mikojo huko, hili mnalotoa humu ni povu tu , karibu bia upunguze stress kijana.
Kabisa mkuuMadogo wanafanya generalisations za ajabu kwamba ukiona hivi basi umeshaona vile watu wanaoa mpaka ma-bar mengi wenye mizinga mikubwa ya nyuki kule nyuma wamepakia masega ya asali
Usioe usioe usioe , bonyeza chunusi hizo wewe bado dunia haujaijua .Kuna wavulana na Kuna Wanaume kwenye Maisha sikumbuk Kama nishawahi Kuwa mvulana na sio miongoni mwa uliowataja hapo juu
😂😂😂Itabidi usubiri wale wanawake watakao tengenezwa na ELON MUSK.
Binti kil mara mara yeye ni kuniita maneno ya mahaba kila mara ila kuna siku aliniomba hela ya simu nikamkazia baada ya hapo mawasiliano yamekuwa unatafuta kwa tochi! Na mwingine alitaka nimpe mahari ya 1.5M wakati ni mshangazi wa miaka 28 nimesema NoDuniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9%
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.