Haya mwaga sifa zangu hapa.
usijaribu.
Tulia unyolewe? hahahahahawanaume hawapendi kukosolewa kwa kukosewa heshima. mtu yeyote,hata kama mdogo unaweza kummaliza uajsiri wake kwa kukosoa huku unamkosea adabu mbele za watu. mwanaume anakosolewa chumbani, huku umemvika khanga imeandikwa 'tulia unyolewe'. mwanajamii1 nae ijumaa saa hizi sijui kafungiwa wapi wallah! hapo hata umgombeze, akiwa mkali unamuibia tena kwa maneno,lol
ila watu wakiume wauaji sana ktk swala nzima la mapenzi sijui ni kwasababu wao hawaumii loh!Dah, mwanaume akikosolewa anakuwa mnyonge sana, na unyonge utamuisha mapema na kukubali kubadilika kwenye mambo ya kawaida but kama ulimkosoa kwenye sex, atakuwa mnyonge kwa muda mrefu zaidi, na akipata ahueni, anaweza akakuacha muda si mrefu au baada ya kupumzika kusex na wewe kwa muda, atakuja kusex na wewe kwa kukukomesha, atakuchubua ipasavyo, ukilalamika, utaambiwa, si ndivyo ulivyokuwa unataka au?!.
Tulia unyolewe? hahahahaha
Ndiyo maana kule kwetu kwa akina Marwa, Chacha, Wambura na Mwita, wakati tunapowaoa akina Robi, Gati, Nyambura au Mukami, huwa tunakabidhiwa RUNGU na SIME kwa ajili ya "kudumishia ndoa". Ajifanye kumkosoa mwanaume ndiyo atakapojua nani kaolewa!Mmmmh! Kwahiyo wanaume hampendi kukosolewa?
...................vukani kasema so ni kweli je kama imework kwake so cc kwann isifanye kazi loh!Danganyaneni!
Kumbe hata mimi sikumaliza kufundwa lolyap! huku unampepea na kipepea mpenzi kimeandikwa 'lala mpenzi' (unamalizia moyoni ..'ili nioke zangu'
usipomuibia mmeo majirani wanakusaidia,lol
Hapo nyekundu 1&2:Naona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari .Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa roho Mweh!
Inaelezwa kwamba kutokana na maumbile mwanaume hujiona ni mkamilifu wa kila jambo, kumbe sio kweli. Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia, basi mkosoe, hapo ndipo lilipo tatizo. Mwanaume akikosolea hujiona kama amepoteza uanaume wake, na hasa kama anayemkosoa awe ni mwanamke, ndio anakuwa kwishnei kabisa.
1. Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa .. Yaani wao kukosolewa na mwanamke hukuchukulia kama aina fulani ya udhalilishaji, na kichwani mwao huenda maswali mengi sana ya kuhoji ukamilifu wao.
2. Si kama mwanamke akikosolewa haumii, la hasha, huumia sana, lakini kiwango cha maumivu hutofautiana sana na kile wanachopata wanaume. Wanawake wamezoeaa kukosolewa tangu utotoni, kwa hiyo kwao hiyo sio ishu tena, kwani mfumo dume umewafanya waikubali hali hiyo pasi na hiyari yao.
sijui nikusifie lipi. Yote mabaya.
Una roho mbaya wewe. Na ujue roho mbaya haijengi.
......umemvika khanga imeandikwa 'tulia unyolewe'.