Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!

Vukani umenichanganya kidogo, sasa unataka akufikishe kileleni hapo hapo umesema ukimkososa inalala doro hebu itakuwaje hapo nieleweshe mwenzio

Sasa kama mtu anafanya kama Bata utafikaje kileleni?.............ndio maana inabidi akosolewe ili mambo yaende mswano....... lakini bahati mbaya ndio hivyo, inalala doro...........jamani mkikosolewa mjikaze kiume..............Ndio mapenzi yenyewe hayo
 
vukani siyo kwamba hatukatai kukosolewa lakini isiwe wakati wa mechi! nikosoe kabla halafu unipe na mbadala then twende kwenye game! sasa unanikosoa uwanjani lazima nipaniki hata mwanafunzi usimkosoe wakati anafanya mtihani lazima apaniki!
 
Sasa kama mtu anafanya kama Bata utafikaje kileleni?.............ndio maana inabidi akosolewe ili mambo yaende mswano....... lakini bahati mbaya ndio hivyo, inalala doro...........jamani mkikosolewa mjikaze kiume..............Ndio mapenzi yenyewe hayo

Ok kwa hiyo nitamwambia sasa hivi nataka kukusoa ila ujikaze kiume
 
Asume mpo katikati ya malavidavi halafu my waifu wako anakuambia mbona una kananihii kadogo. Hivi utajisikiaje?

in red....mkuu maniaje yako yanahusika zaidi kuliko size ya hiyo makitu
ikikutokea ujue utakuwa umekosea kumkunja, huwa hazipwayi inategemea umemuweka mkao gani...
 
Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa…………..

.

vukani, in red hapo...
sio wote bana mi mbona niko tofauti...
kama vp niPM uombe game la ushindani nikuthibitishie hili, utapigwa nyingi tu kama alivyofanywa aseno na man u...
 
vukani, in red hapo...
sio wote bana mi mbona niko tofauti...
kama vp niPM uombe game la ushindani nikuthibitishie hili, utapigwa nyingi tu kama alivyofanywa aseno na man u...

Wakali huwa hawachongi sana................. akikupa sana sana utapiga Fyongo tu..............
 
Sio kweli... inategemea na the way unamkosoa. Nadhani wanaume kama wanawake hawapendi kukosewa heshima. sasa wewe unamkosoa mwenzio katika tendo la ndoa alafu unategemea atakua bado imara? nenda ukafundwe upya mamaa

kweli kabisa akafundwe upya wakat wa ku do ni ku do tu sio vingenevyo,kwaom hawakumpeleka jando na unyago
 
na ukitaka kumuua mwanamke kisaikolojia na ajione hafana na ni m'mbaya... Mwambie 'WEWE NI MNENE' sijui kwanini hawapendi. Sio wote, bali wengi wao hawapendi wawe wanene.
Jamani mbona mimi ni mnene na nikoproud, mwanamke gani aliyefaidhaishwa kwa kuambiwa mnene? kweli bianadamu tunatofautiana.....
 
halafu ukishamtosa, na huko nje ukaambiwa hutoshelezi unakimbia tena!? ukiambiwa tatizo shukuru mungu,ili ulifanyie kazi baba! kama akikuambia vibaya ikakuudhi,mfundishe mwenzio kukuongelesha vizuri. kila ukiambiwa ukakimbia utajikuta jangwani
Mkuu hata mkeo akwambie perfomance yako kitandani ni below par utaona ni sawa tu? kudadadeki utamtosa tu!

magandwa orijino ya jkt nayo yalikua mazuri, especially to the guys. nadhani ni more masculine (nikiwaza zile shati za tetroni zenye rangi ya ajabu,mweh!). Ila bi mkubwa wakati huo nilikua secondari maybe,nshakula chumvi kiasi cha kutosha na mie, basi tu!

Magwanda orijino nimeyavaa sana enzi za JKT, wala hayanstui. Wewe siku hizo hujazaliwa au ulikuwa unasoma chekechea kijana.
 
kuna shangingi moja aliwahi kuniambia kuwa simkanyagi vizuri,nikamuambia mie nimezoea kuogelea kwenye maji ya bahari haya ya mto sijayazoea. Kama unataka nipe maji ya bahari uone ninavyoogelea
 
kuna shangingi moja aliwahi kuniambia kuwa simkanyagi vizuri,nikamuambia mie nimezoea kuogelea kwenye maji ya bahari haya ya mto sijayazoea. Kama unataka nipe maji ya bahari uone ninavyoogelea

Hata kama umetumia tafsida, lakini mie sijaelewa kabisa mkuu...............
 
Back
Top Bottom