Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!

Ngoja nimwambie my wife leo anikosoe nione inakuaje .......
 
Naona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari…………….Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa roho………Mweh!

Inaelezwa kwamba kutokana na maumbile mwanaume hujiona ni mkamilifu wa kila jambo, kumbe sio kweli. Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia, basi mkosoe, hapo ndipo lilipo tatizo. Mwanaume akikosolea hujiona kama amepoteza uanaume wake, na hasa kama anayemkosoa awe ni mwanamke, ndio anakuwa kwishnei kabisa.

Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa………….. Yaani wao kukosolewa na mwanamke hukuchukulia kama aina fulani ya udhalilishaji, na kichwani mwao huenda maswali mengi sana ya kuhoji ukamilifu wao.

Si kama mwanamke akikosolewa haumii, la hasha, huumia sana, lakini kiwango cha maumivu hutofautiana sana na kile wanachopata wanaume. Wanawake wamezoeaa kukosolewa tangu utotoni, kwa hiyo kwao hiyo sio ishu tena, kwani mfumo dume umewafanya waikubali hali hiyo pasi na hiyari yao.
hata mwanamke ni hivyohivyo... we mwambie una nanihii kama nanihii au nanihii uone depression

this is universal
 
Kwani Wanaume tumekuwa Miungu mpaka tujione kama hatustahili kukosolewa pale tunapokosea? Mbona wengi tu hukubali makosa yao wanapokosolewa na wengine hata kuomba samahani kwa wale waliowakosea kama ni GF, Mke etc...Wanaume ni binadamu hivyo hatuko perfect na tuna mapungufu mengi tu ikiwemo hilo la kufanya makosa mbali mbali.
 
Asume mpo katikati ya malavidavi halafu my waifu wako anakuambia mbona una kananihii kadogo. Hivi utajisikiaje?

Hapo sasa Rejao...............Una akili wewe........ndio maana nakupenda,tena bure bila hata seti tano...........LOL
 
Kwani Wanaume tumekuwa Miungu mpaka tujione kama hatustahili kukosolewa pale tunapokosea? Mbona wengi tu hukubali makosa yao wanapokosolewa na wengine hata kuomba samahani kwa wale waliowakosea kama ni GF, Mke etc...Wanaume ni binadamu hivyo hatuko perfect na tuna mapungufu mengi tu ikiwemo hilo la kufanya makosa mbali mbali.

Bahati hiyo wanayo wale wenye kufikiri nje ya Box.......................... yaani kw jicho la tatu..........
 
Mmmmh! Kwahiyo wanaume hampendi kukosolewa?
Siyo wanaume tu, hakuna anayependa kukosolewa
We mwambie mwanamke tu unanuka kikwapa, mdomo unanuka
n.k uone kama atafurahi.... au mwambie huko ikulu...... Nashindwa
kumalizia watoto hawajalala.
 
Asume mpo katikati ya malavidavi halafu my waifu wako anakuambia mbona una kananihii kadogo. Hivi utajisikiaje?
Mwambie tu mbona kwa fulani ilikuwa inatosha ni kwako tu ndo
inakuwa hivi lakini nimepita sehemu 100 sijakutana na bahari pana
kama hii unaogelea mpaka unataka kumezwa na maji!
 
Back
Top Bottom