Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

image.jpg
image.jpg
Na mama yako umemuhesabia?
 
Kwanin uende kwa single mother at first place??? Wakati kuna vifresh kibao, hii ndiyo inaitwa mkataa pema, yani uache vibinti ukachukue single mother, ukitendwa na kuumizwa kisaikolojia uje kulialia hapa, bora ukatendwe na kabint fresh utasema bahati mbaya tu. Hawa single mother ni hatari sana, weka mbali na akili yako, ila wanapenda hatariiii Unakuwa kama mkomboz wake
Kweli mkuu dah yani mulemule nilishawahi kuwa na mahusiano na single maza anakupenda hadi kero ila baadaye niliachana naye..!!!
 
Japo single mothers wana sifa ya ziada ni very hard working. Si unajua tena yeye ndo kila kitu so inabidi ajiongeze. Big up Single mothers over there
 
Ndio kutishana ama...mana nina nyota nao hasa.....Yan mtoa mada una lengo gan na izi wako....Dah last solution ndio kusema single mother ni kitanz
 
Back
Top Bottom