Mimi nimesoma China, Tianjin university, natamani sana kukutana na mtoa maada, nijiringanishe naye ndiyo nimjibu! Nahisi ana tatizo kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana wangu form 4 alipata div 1na form 6 div 1 na kaenda nje. Failures bongo wanaenda kisauti. St joseph
Ni kweli mkuu, nadhani ameona kwa watu wake wa karibu.
Mtoa Mada unachosema kinaweza kuwa na ukweli kama itatokea mwanafunzi husika ameenda chuo feki... Katika maeneo uliyotaja.Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.
Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.
Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.
Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.
Hawakai chungu kimoja.
Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na mimi form fourMimi nimesoma China, Tianjin university, natamani sana kukutana na mtoa maada, nijiringanishe naye ndiyo nimjibu! Nahisi ana tatizo kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakosa nafasi UDSMKijana wangu form 4 alipata div 1na form 6 div 1 na kaenda nje. Failures bongo wanaenda kisauti. St joseph
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina rafiki yangu anasemaga akifanikiwa kupata scholarship ya kusoma nje ya Tanzania hata kama ni 'sudan', ndio harudi tena Tanzania[emoji4][emoji4].
Nimesoma hii nikamkumbuka, nikahisi ikitokea ikashindikana kubaki akarudishwa Tz ataungana na 'hao' wenye stress kwa sababu malengo yake yatakuwa hayajatimia.
Asilimia 99.7 ya Watanzania wanaosoma China husoma vyuo vya ajabu. Peking unaweza kuta watz 3 au hakuna kabisaNyie ndugu punguzeni tabia isiyofaa. Tujenge tabia ya kutiana moyo. Nachukulia mfano hapo kwetu Tanzania, kuna baadhi ya wanafunzi hufeli ktk level tofauti tofauti, kuanzia elimu ya msingi, form two, form four, form six na hata vyuo watu wana disco ktk shule na vyuo tunavyoamini ni bora, kinachofanyika watu hutafuta namna rahisi zaidi ya kuendelea ndiposa wanatafuta vyuo mbadala au shule inayoweza kumchukua,kuna shule mbovu sana huko nyumbani, kuna vyuo vibovu sana huko nyumbani tena taasisi hizi nyingi ni za private, wao wanajali sana pesa. Vivyo hivyo hata huku China, kuna vyuo vya namna hiyo, unakuta karo ni ndogo na elimu ya hovyo, vinazoa kila mtu hii ipo hasa kwa wanafunzi wanaosoma undergraduates wengi vyuo sio vizuri.Hii haina maana kwamba China nzima wanatoa elimu mbovu,hapana. Mimi nikilinganisha elimu niliyopata huko bongo na hapa hasa ya vitendo, huku wamepiga hatua sana huenda mara 4 na zaid,tatizo ninaloliona kwa post graduates, kama utasoma kizembe, walimu hawana shida kabisa watakuacha umalize,urudi nchini kwako ila kwa wanafunzi wao wako very strick hawana mchezo,lakini kama ukiamua kusoma kwa bidii, kwanakupa support yote, utapata kila kitu na utajua vitu vingi sana. Watu wengi wamemaliza elimu za masters ulaya mfano Norway, Uholanzi hata marekani hawajui hata kuandika scientific papers wala hawajwahi kupublish kazi yake aliyowahi kuifanya hata ukimuuliza Sci. ni nini hajui kabisa.Mimi najivunia kusoma nchini China. Kuna issue ya kurudi nyumbani ukiwa na hela au unarudi bila kitu, kabla ya kwenda kusoma nchi yoyote lazima ufikiri sana unaenda kwa sababu unataka kwenda kusoma na umepata ufadhili wa kusoma elimu ya juu au unaenda kutafuta pesa. Swali hilo litakuongoza kuchagua nchi ya kwenda. Kwa china baadhi ya majimbo watu wanaruhusiwa kufanya kazi, pengine wanaruhusiwa kufanya kazi na kuishi mpka miaka minne baada ya kuhitimu (yaani hawawezi kukupa visa ya kazi na ya kusoma pamoja, lazima ucancel mojawapo). Ukija kusoma huku unawaza pesa unaweza kurudi nyumbani umechanganyikiwa. Kuna vijana wengi wamefanikiwa kwa kufanya biashara kati ya China na DSM, wengine wana makampuni n.k . China ina vyuo vikubwa tu bora mfano Tsinghua University, Peking University n.k elimu bora inaambatana na maendeleo, tujipime maendeleo yetu na China kisha turudi kudharau elimu yao.
Tunakimbilia India kwa aababu being in ndogo, ulaya tiba ipo juuKatika mahala ambako shule inapigwa hapa duniani ,INDIA ,KOREA na CHINA huwezi ukaziacha kwenye list,Huko nje inategemea umeenda kusoma chuo gani,india wana INDIAN INSTITUTE OF TECHLONOLOGIES hizo vyuo ni world class na wengi wakimaliza hapo wanakimbilia USA wengi ni ma CEO wa makampuni makubwa ,Nenda NASA,GOOGLE ,APPLE hakuna mahala utamkosa muhindi tena kwenye Vitenge,
Ndio maana tukiugua maradhi yakishindikana hapo muhimbili kwenye elimu ngumu tunakimbilia INDIA,CHINA nk Elimu ipo huko ila inategemea umefuata nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi unajua utaratibu wa kuingia chuo chochote na ukasoma MD au unachangia mada kuchangamsha gengee??Wadada waliosoma China wamekua slay queens tu insta. Trips za hong kong nyingi wakirudi bongo hamna wanachojua. TZ Ukiondoa Kampala University Dar es salaam hakuna chuo kinachukua failures. Failures wote wapo China na India.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuu, kuna kipindi nilitaka nichukue masters ya accounting pale mzumbe nikakuta waalimu wataotufundisha nao wameishia masters za hapa hapa hawana phd vyuo vya bongo, yaani kiufupi nilipchunguza nikaona hakuna utofauti wa masters na anaesomea degree..,,,Ikija tokea nimesoma masters basi itakua ni ulaya (uk, noway ama sweden), marekani au makerere ...FULLSTOP!!!Masters yangu nitachukulia kati ya Nchi ya Norway au Sweden basi!
Akili ya ndorobo hii. Si rahisi kubadilisha akili ya mtu aliyekwisha kata tamaa.Baki ukijua ivo hivo, wala haimuathiri mtu.Asilimia 99.7 ya Watanzania wanaosoma China husoma vyuo vya ajabu. Peking unaweza kuta watz 3 au hakuna kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
DadekiiiKuna mshkaji namfahamu alisoma art bongo saivi yupo India Anapiga Civil engineering [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app