Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Hahaaaa....vepeee Prof. Shika alisomea wapi jameni Asia, hivi Rusia ni Esheya au Asia?
Mtazame Chenge Nyoka Mwenye Makengeza Mjanja Sana
Haogopi Kitu, Hata Watanzania Walipolalamika Kuibiwa Pesa Yeye Akiwa Nchi Za Ng'ambo.
Aliporudi Tanzania Pale Airport Alisema Bila Woga Vile Ni Vijisenti

Professor Tibaijuka Akasema Pesa Ya Mboga
Ulaya Noma Sasa Hivi

Omary Nundu Akiwa Waziri Alishinikizwa Ajiuzuru
Aligoma Akasema Hawezi Kujiuzuri Haoni Kosa Lake


Wakisoma Asia Hawana Confidence!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka... Nlikuwa namuonaga Sisco mtiro akiwashulikia watu kwenda Kusoma hko
Mengine Ngj nmezeee.....
Wema sepetu mwenyewe aliendaga hko ila arudi mapema

Ova
Ama kweli jamaa wewe ni old timer miaka kati ya 2006-2010 ilikua ni malaysia na india kwenda mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada waliosoma China wamekua slay queens tu insta. Trips za hong kong nyingi wakirudi bongo hamna wanachojua. TZ Ukiondoa Kampala University Dar es salaam hakuna chuo kinachukua failures. Failures wote wapo China na India.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe KIA ni chuo cha waliofeli?!
 
Back
Top Bottom