Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Nawaombea mbadilishe fikra juu ya watu wanaojaribu kupiga hatua kupitia elimu, kutafuta maisha nje ya nchi, kufanya biashara.Jaribuni kuwa positive na mfanye kazi kwa juhudi ili kujiletea heshima. Hivi karibuni narudi nyumbani kutoka Asia, sitakuwa na hela kubwa lkn nakuja na technolojia ya kutumia rice straws kutengeneza product muhimu huko nyumbani,pia Professor wangu kakubali kuja tuanzishe farm ya zao flani,tayari ana mashamba katika nchi mbili jirani. Mnaobeza endeleeni kubeza ila mkaa bure si sawa na.........
 
Russia is neither a European country, nor Asian. Kifupi hawataki kujiita watu wa Europe wala Asia. I dunno where they belong.
 
Ninachofurahi tu ni kuwa PhD za UD ndio zinaongoza nchi, look where we are now. Sijui kwa nini products nyingi za UD zinaji-proud sana wakati wanaongoza nchi na hakuna wanachofanya zaidi ya kuzidi kuliibia taifa.
 
Unamjua CEO wa Google LLC?
Na sasa hivi kapewa madaraka zaidi na wamiliki wa hiyo kampuni akina Larry Page kuwa CEO wa Alphabet Group of companies yaani Google ipo ndani ya Alphabet.

Huyu anaitwa Pichai Sundararajan , also known as Sundar Pichai .
Kazaliwa India, kasomea India hadi shahada ya kwanza, muwe mnaweka akiba ya maneno, punguzeni ujuaji mwingi huku hamjui mengi kihiivyo.

Orodha ni ndefu ila punguzeni dharau, stereotype thinking, prejudice, and the like.
Sasa hivi huduma nyingi za ICT zinakuwa ourtsourced nje ya Marekani, Australia, Ulaya n.k. kwenda kwa makampuni yaliyopo India.
CC: Hivi punde
Wa kwanza huyu aliesoma asia au ndo mtoa link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaombea mbadilishe fikra juu ya watu wanaojaribu kupiga hatua kupitia elimu, kutafuta maisha nje ya nchi, kufanya biashara.Jaribuni kuwa positive na mfanye kazi kwa juhudi ili kujiletea heshima. Hivi karibuni narudi nyumbani kutoka Asia, sitakuwa na hela kubwa lkn nakuja na technolojia ya kutumia rice straws kutengeneza product muhimu huko nyumbani,pia Professor wangu kakubali kuja tuanzishe farm ya zao flani,tayari ana mashamba katika nchi mbili jirani. Mnaobeza endeleeni kubeza ila mkaa bure si sawa na.........
Sawa! Ila kumkuta diaspora tajiri kazi kweli kweli.Zaidi ni wale wamarekani weusi tu ndio waliotajirika kwa michezo na wale walioenda kucheza soka ulaya wasomi wanahesabika.Wasomi wetu wa nje walichofanikiwa ni kuoa wazungu na siku hizi wachina, sio pesa.Hakuna diaspora anaewazidi utajiri matajiri wa Afrika.Utapopinga unitajie na wasomi waliotajirikua huko ng'ambo wanaotambulika hapa bongo kama mengi, bakhresa, more nk
 
Ninachofurahi tu ni kuwa PhD za UD ndio zinaongoza nchi, look where we are now. Sijui kwa nini products nyingi za UD zinaji-proud sana wakati wanaongoza nchi na hakuna wanachofanya zaidi ya kuzidi kuliibia taifa.
Hizi PhD zinaonesha uelekeo.PhD ya magufuri inawafikirisha hata wazungu wa Harvard. Matokeo makubwa hayaletwi na PhD bali p/s to university.
 
Kuna jirani yangu nae kijana wake alikumbwa na upepo wa kisulisuli wa kwenda kusoma Malaysia. Tangu amerudi ni zaidi ya miaka sita yupo yupo tu. Amebaki nyumbani kutumwa mafuta ya kupikia ya kupima kwa kikombe. Ni aibu ati. Huko Malaysia hapana aiseeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi nifafanuloeni apa ukisoma certificate apa bongo unaweza soma chuo chochote nje ya nchi ?
Mie mzazi Nina mwanangu kamaliza form 4 mwaka wa jana ana d 8 ya f ya commercia na Arabic anataka kusomea account ebu nielewesheni kwa uelewa wenu Nina ndoto akasome nje ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kila chuo inategemea kozi gani anataka na hiyo certificate aliyosoma au atakayosoma hapa ni ya nini ili ioane na huko

Mara nyingi cert akisona diploma ndio degree za nje atapata nzuri
 
Back
Top Bottom