Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Sasa India huwa hawekwi kwa sababu wanacheat sana na Saudi Arabia hapo wamehonga sana

PISA 2018 – Average Score of Mathematics, Science and Reading:

1.China (Beijing, Shanghai, Jiangsu, Zhejiang)578.7
2.Singapore556.3
3.Macao542.3
4.Hong Kong, China530.7
5.Estonia525.3
6.Japan520.0
7.South Korea519.7
8.Canada516.7
Taiwan516.7
10.Finland516.3
11.Poland513.0
12.Ireland504.7
13.Slovenia503.7
United Kingdom503.7
15.New Zealand502.7
16.Netherlands502.3
Sweden502.3
18.Denmark501.0
19.Germany500.3
20.Belgium500.0
21.Australia499.0
22.Switzerland498.0
23.Norway496.7
24.Czechia495.3
25.United States495.0
26.France493.7
27.Portugal492.0
28.Austria491.0
29.Latvia487.3
30.Russia481.7
31.Iceland481.3
32.Lithuania479.7
33.Hungary479.3
34.Italy477.0
35.Luxembourg476.7
36.Belarus472.3
37.Croatia471.7
38.Slovakia469.3
39.Israel465.0
40.Turkey462.7
Ukraine462.7
42.Malta459.0
43.Greece453.3
44.Serbia442.3
45.Cyprus438.0
46.Chile437.7
47.United Arab Emirates433.7
48.Malaysia431.0
49.Romania428.0
50.Bulgaria426.7
51.Moldova424.3
52.Uruguay423.7
53.Brunei423.0
54.Montenegro422.0
55.Albania419.7
56.Jordan416.0
Mexico416.0
58.Costa Rica414.7
59.Qatar413.3
60.Thailand412.7
61.Colombia405.3
62.Kazakhstan402.3
Azerbaijan402.3
64.Bosnia and Herzegovina402.3
65.Peru401.7
66.Brazil400.3
67.North Macedonia400.0
68.Argentina395.0
69.Georgia387.0
70.Saudi Arabia386.0
71.Indonesia382.0
72.Lebanon376.7
73.Morocco368.0
74.Panama365.0
75.Kosovo361.3
76.Philippines350.0
77.Dominican Republic334.3
 
Wivu na majungu vinawatesa vijana wengi unasimama kwenye udahili anakuja mtu na CGPA kali huku kuelezea nadharia ndogo ya alichosomea ni mtihani kwa uzoefu wangu Chuo hakim-define mtu bali huweza kuchangia uwezo wake watu wanatoka mtendeni university na wanawasha moto mkali tu mwengine anatoka china unaona kabisa huyu alitoka kwenda kusoma.

La muhimu ni kujitambua na kufanya shule haya majungu ya huyu kasoma wapi na chuo kipi ni bora hazisaidii chochote ukishatoka kujifariji kwa chuo ulichosoma/unachosoma utahamia kwenye courses kisha kwenye GPA .

Dunia inataka kujua kuhusu wewe na si vinginevyo unaweza kuwa na LLB ya Havard na ukawa mweupe kwenye legal battles kazi yako settlements tu .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna jirani yangu nae kijana wake alikumbwa na upepo wa kisulisuli wa kwenda kusoma Malaysia. Tangu amerudi ni zaidi ya miaka sita yupo yupo tu. Amebaki nyumbani kutumwa mafuta ya kupikia ya kupima kwa kikombe. Ni aibu ati. Huko Malaysia hapana aiseeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hua hawarudi na vyeti au?

Sent from my SM-G960F using Tapatalk
 
Mleta mada acha uchochezi😀😀😀 kipindi tumemaliza kidato cha sita kuna jamaa yetu mmoja mayokeo yake hayakuwa mazuri kupata admision bongo, basi familia ikajipiga piga kupitia madalali wa elimu mjini wakampatia chuo india ebwana siku anaondoka wazazi wa jamaa walituita tumsindikize yani full mbwebwe jamaa akaona kayapatia maana.mda ana.ondoka.vyuo tz havijatoa admisiom bado kwaiyo akajiona.mjanja akaenda uko india kusoma siye tukabaki tz yetu

Jamaa karudi toka india kafikiankupaka rangi kucha wadada na kuuza mawigi na kushimda salon za kike alafu kidume yani sielewagi hii ndio degree ya accountbaliyoenda somea china au ajabu hataki kabisa mawasiliano na sisi yeye mpaka.wazazi wake tukiwauliza issue za kijana wao hawataki kabisa sema utasikia yupo tu na shughuli zake kakataa ajiriwa kamua jiajiri kasema kuajiriwa utumwa mwaka wa kumi huu na zaidi tangu tumalize vyuo jamaa bado msela tu

Jamaa tuliosoma nao wanafamilia nk yeye yupo yupo tu mzee wa bombay tunamwita
 
Hahahaaaa Mzee wa Bombay
 
Nawaombea mbadilishe fikra juu ya watu wanaojaribu kupiga hatua kupitia elimu, kutafuta maisha nje ya nchi, kufanya biashara.Jaribuni kuwa positive na mfanye kazi kwa juhudi ili kujiletea heshima. Hivi karibuni narudi nyumbani kutoka Asia, sitakuwa na hela kubwa lkn nakuja na technolojia ya kutumia rice straws kutengeneza product muhimu huko nyumbani,pia Professor wangu kakubali kuja tuanzishe farm ya zao flani,tayari ana mashamba katika nchi mbili jirani. Mnaobeza endeleeni kubeza ila mkaa bure si sawa na.........
Hongera Sana mkuu 👏👏👏
 
Sawa! Ila kumkuta diaspora tajiri kazi kweli kweli.Zaidi ni wale wamarekani weusi tu ndio waliotajirika kwa michezo na wale walioenda kucheza soka ulaya wasomi wanahesabika.Wasomi wetu wa nje walichofanikiwa ni kuoa wazungu na siku hizi wachina, sio pesa.Hakuna diaspora anaewazidi utajiri matajiri wa Afrika.Utapopinga unitajie na wasomi waliotajirikua huko ng'ambo wanaotambulika hapa bongo kama mengi, bakhresa, more nk
Marehemu Mengi,Ali Mfuruki walisoma nje ya nchi, Bosi wa Simba alisoma nje ya nchi, na wengine wengi.Point yako unataka tusitoke kwenda kusoma nje ya nchi kwa sababu hatutakuwa matajiri? hivi utajiri wew unaupimaje? Unataka kila mmoja awe tajiri wa kiwango cha Dewji? Sio kila mtu anayekwenda kusoma nje, anaenda kutafuta maisha, wengine wanaletwa na serikali/mashirika ya Dini n.k ili kuja kujifunza stadi na maendeleo ya nchi nyingine na ndio hao wanaoshika nyazifa mbalimbali.
 
Sawa! Ila kumkuta diaspora tajiri kazi kweli kweli.Zaidi ni wale wamarekani weusi tu ndio waliotajirika kwa michezo na wale walioenda kucheza soka ulaya wasomi wanahesabika.Wasomi wetu wa nje walichofanikiwa ni kuoa wazungu na siku hizi wachina, sio pesa.Hakuna diaspora anaewazidi utajiri matajiri wa Afrika.Utapopinga unitajie na wasomi waliotajirikua huko ng'ambo wanaotambulika hapa bongo kama mengi, bakhresa, more nk
Ebu nikuulize ndugu yangu, je, wew umewahi kwenda marekani ukafanikiwa? au umewahi kujaribu kucheza mpira kama Samata ili uwe tajiri kwa sababu ni dhahiri unazijua njia rahisi za kufanikiwa kuwa tajiri. Unaposema wasomi wetu wa nje, wew unakuwa katika kundi gani? Eti wasomi wetu, ulimtuma nani akakusomee? kila mtu anaamua kuchukua hatua juu ya maisha yake mwenyew,huna muda wa kuanza kumu evaluate kwa sababu hakusaidii chochote, ni vema ujiangalie wew uliposimama, unachokifanya, kama unaridhika nacho na unatimiza malengo yako,inatosha. Anyway
Utajiri sio tu pesa,hata skills ukibeba kutoka ng'ambo kisha ukaitekeleza nyumbani mfano usome historia ya mzee Mengi,kazi alizowahi kufanya ulaya na baada ya kurudi alifanya nini, Dewji skills alitoa wapi za kusimamia miradi ya baba yake ikawa mikubwa ivo, Marehemu Mfuruki,Dangote ni mnigeria ila Bachelor yake kasomea Misri ( najua ungekuwa mnigeria kipindi hicho,ungemcheka kwamba ameenda kusoma Misri hamna hela,amerudi bila hela), Mike Adenuga amesoma marekani kisha akarudi kwao Nigeria, Strive Masiyiwa mzimbabwe huyu kasoma Scotland kabla ya kurudi nyumbani. Ukitoka nje, kama sio kusoma hata kutafuta maisha,unafunguka akili, na kwa sababu wenzetu wamepiga hatua kubwa kutuzidi, utapata fursa nyingi za kibiashara, kikazi, kijamii, kielimu, social network n.k
Kitu kilichonishangaza, nimekuta pm wadau watatu wanauliza namna ya kupata nafasi ya kuja kusoma China, so guys ,acheni unafiki ili mpone ujinga.
 
Nitajie tu diaspora alietajirika huko ulay.We we kichwa chako kigumu kuelewa.Mbona kila mwaka serikali inapeleja watu wakasome nje, je huko sio kutumwa? Ulitakiwa uwelewe falsafa ilionyuma ya hili andiko na sio kulipuka na Mifano isio na uhalisia.Uhalisia ni kwamba milango ya utajiri ulaya kwa wageni ni finyu kulinganisha na Afrika labda kwenye sekta ya michezo na muziki.
 
Kila mmoja aelewe anavyojua
 
Naunga mkono hoja,
Kama wazazi au walezi inabidi uliangalie suala la kumpeleka mtoto hayo maeneo china cjui india maana zaidi zaidi vijana wanatamani kwenda huko kwa ajili ya kupata sehem za kupigia picha[emoji16] Ila ukirud bongo kama wewe ni graduater wa hivyo vyuo basi ujiandae kujiajir au uwe na connection nzito

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujiajiri kwa kufungua duka la nguo au hair salon.
 
Sasa India huwa hawekwi kwa sababu wanacheat sana na Saudi Arabia hapo wamehonga sana

PISA 2018 – Average Score of Mathematics, Science and Reading:

1.China (Beijing, Shanghai, Jiangsu, Zhejiang)578.7
2.Singapore556.3
3.Macao542.3
4.Hong Kong, China530.7
5.Estonia525.3
6.Japan520.0
7.South Korea519.7
8.Canada516.7
Taiwan516.7
10.Finland516.3
11.Poland513.0
12.Ireland504.7
13.Slovenia503.7
United Kingdom503.7
15.New Zealand502.7
16.Netherlands502.3
Sweden502.3
18.Denmark501.0
19.Germany500.3
20.Belgium500.0
21.Australia499.0
22.Switzerland498.0
23.Norway496.7
24.Czechia495.3
25.United States495.0
26.France493.7
27.Portugal492.0
28.Austria491.0
29.Latvia487.3
30.Russia481.7
31.Iceland481.3
32.Lithuania479.7
33.Hungary479.3
34.Italy477.0
35.Luxembourg476.7
36.Belarus472.3
37.Croatia471.7
38.Slovakia469.3
39.Israel465.0
40.Turkey462.7
Ukraine462.7
42.Malta459.0
43.Greece453.3
44.Serbia442.3
45.Cyprus438.0
46.Chile437.7
47.United Arab Emirates433.7
48.Malaysia431.0
49.Romania428.0
50.Bulgaria426.7
51.Moldova424.3
52.Uruguay423.7
53.Brunei423.0
54.Montenegro422.0
55.Albania419.7
56.Jordan416.0
Mexico416.0
58.Costa Rica414.7
59.Qatar413.3
60.Thailand412.7
61.Colombia405.3
62.Kazakhstan402.3
Azerbaijan402.3
64.Bosnia and Herzegovina402.3
65.Peru401.7
66.Brazil400.3
67.North Macedonia400.0
68.Argentina395.0
69.Georgia387.0
70.Saudi Arabia386.0
71.Indonesia382.0
72.Lebanon376.7
73.Morocco368.0
74.Panama365.0
75.Kosovo361.3
76.Philippines350.0
77.Dominican Republic334.3
Tanzania
 
Back
Top Bottom