Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Hata ulaya na Marekani pia so wote wanatoboa Kuna Wengine siku ya kuwaaga airport wakiondoka huwa wameva suti za uhakika na viatu vya uhakika na masanduku mazuri ya uhakika wakienda ulaya na Marekani .Siku ya kurudi wanarudi wamevaa vikaptula,Ka Tshirt kamepauka ,miguuni kavaa kobasi na mgongoni kabeba begi wanazobeba watoto wanaosoma shule.Ndio.mzigo pekee anaokuwa nao
We nawe elewa basi unapoambiwa marekani ni nchi tajiri haina maana wamarekani wote matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ulaya na Marekani pia so wote wanatoboa Kuna Wengine siku ya kuwaaga airport wakiondoka huwa wameva suti za uhakika na viatu vya uhakika na masanduku mazuri ya uhakika wakienda ulaya na Marekani .Siku ya kurudi wanarudi wamevaa vikaptula,Ka Tshirt kamepauka ,miguuni kavaa kobasi na mgongoni kabeba begi wanazobeba watoto wanaosoma shule.Ndio.mzigo pekee anaokuwa nao
Kumbuka pia kila mtu ana akili zake, hata hapa wapo wenye kazi nzuri lakini hawana cha maana mara mia hata ambaye hana shule kubwa, hivyo ni pamoja na akili ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.

Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.

Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.

Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.

Hawakai chungu kimoja.

Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisahau Russia wengi hurudi walevi case study 900 itapendeza hizi Kilimanjaro lager zenu kule inaitwa juice tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo ndg yetu wa TRA(kamishina),kasoma Japan mbona yukovizuri sana
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.

Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.

Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.

Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.

Hawakai chungu kimoja.

Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mko sawa but niko sawa zaidi...coz urusi ipo kote asia na eastern Europe...25%ipo Europe 75% ipo north Asia..ikijulikana kama Siberia..... So mimi(nmesoma KIA)nlikuwa 75%correct ninyi mliosoma China mko 25%correct....Although watu wengi urusi wanaishi upande wa Europe kwasababu hata mji mkuu upo upande wa ulaya

Safi. Kufupisha maelezo yako tunasema 'Eurasia'
 
Bora asia Urusi ukirudi ni mlevi chakari, mchumi uliyekubuhu hata chakula huli nadhani..........?
Nakumbuka mwalimu wangu mmija pale IAA aise alikuwaa wa hesabu kasoma urusii duh alikuwaa cha pombee huyoo mwalimu cjapata kuona Ila uzur wake pmj na pombe zake na hesabu zake ngumu hakunikamataaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom