Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,389
Wengi waliosoma Urusi/ukraine walirudi na totoz wa kizungu.Bora asia Urusi ukirudi ni mlevi chakari, mchumi uliyekubuhu hata chakula huli nadhani..........?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi waliosoma Urusi/ukraine walirudi na totoz wa kizungu.Bora asia Urusi ukirudi ni mlevi chakari, mchumi uliyekubuhu hata chakula huli nadhani..........?
Hata ulaya na Marekani pia so wote wanatoboa Kuna Wengine siku ya kuwaaga airport wakiondoka huwa wameva suti za uhakika na viatu vya uhakika na masanduku mazuri ya uhakika wakienda ulaya na Marekani .Siku ya kurudi wanarudi wamevaa vikaptula,Ka Tshirt kamepauka ,miguuni kavaa kobasi na mgongoni kabeba begi wanazobeba watoto wanaosoma shule.Ndio.mzigo pekee anaokuwa naoMajungu tuna ongoza kwakweli, utasikia kaja mikono mitupu, utazani alipoenda miguu na mikono aliikuta huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukirud bongo kama wewe ni graduater wa hivyo vyuo basi ujiandae kujiajir au uwe na connection nzitoUrusi ni Ulaya MasharikiKwani urusi sio asia?
Hata st Joseph University kibamba wanapokea FailuresDivision form unasoma MD pale. Pesa yako tu. Wana foundation courses so ni kama unarudia A level tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio elimu ya jiografia uliyosomea Ulaya au Marekani?Kwani urusi sio asia?

Kuna mshkaji namfahamu alisoma art bongo saivi yupo India Anapiga Civil engineering
Sent using Jamii Forums mobile app




au sioMkitoka Cuba mkirudi lazima muwe wabahiri na wakudaTuliopo Cuba na Brazir je?



Ni Ulaya Mashariki kwani na wewe umesoma hadi darasa la ngapi? maana hii jografia nilifundishwa darasa la 4Kwani urusi sio asia?
Unamjua CEO wa Google LLC?Eti mtu anakwenda kusoma India nchi ambayo bado raia wake bado wana imani kali za ushirikina na kuabudu ming'ombe
Hii ilikua juzi tuu nimeisikia 2009-2011Nimekumbuka zile speed za kwenda Kusoma Malaysia..... Sjui zmeishia wapi?
Kama mtoto wako alikuwa wa kike basi lzma alimegwa sana......
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Ulaya Mashariki kwani na wewe umesoma hadi darasa la ngapi? maana hii jografia nilifundishwa darasa la 4
Hii ndio elimu ya jiografia uliyosomea Ulaya au Marekani?
Urusi ni Ulaya Mashariki
Mko sawa but niko sawa zaidi...coz urusi ipo kote asia na eastern Europe...25%ipo Europe 75% ipo north Asia..ikijulikana kama Siberia..... So mimi(nmesoma KIA)nlikuwa 75%correct ninyi mliosoma China mko 25%correct....Although watu wengi urusi wanaishi upande wa Europe kwasababu hata mji mkuu upo upande wa ulaya
Kwani urusi sio asia?
Urusi ni Ulaya Mashariki
Geographically speaking, Urusi/Russia is in both Europe and Asia.Hii ndio elimu ya jiografia uliyosomea Ulaya au Marekani?
Kumbe umesoma KIA . Case closed!Mko sawa but niko sawa zaidi...coz urusi ipo kote asia na eastern Europe...25%ipo Europe 75% ipo north Asia..ikijulikana kama Siberia..... So mimi(nmesoma KIA)nlikuwa 75%correct ninyi mliosoma China mko 25%correct....Although watu wengi urusi wanaishi upande wa Europe kwasababu hata mji mkuu upo upande wa ulaya
Kansas institute for artificial intelligence