Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,669
- 30,831
Yaani hapa ndio umemaliza kila kitu kuhusu Russia.Kwenye ramani Russia inaonekana kama European Country because it's culturally European.
Lakini nazidi kushangaa (kutokana na argument yako) kwanini kwenye ramani USA haionekani kama European Country because it's culturally European?!
I can see some similarities culturally between USA and European countries.