Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

issue za malaysia ndio nilikuwa nimemaliza six zilitrend sana na semina zao maeneo ya posta washikaj wengi walijilipua sasa hivi wapo wapo tu.atawalichosomea wengine awakijui.china na india ndio wengi awajielewi
Nimekumbuka zile speed za kwenda Kusoma Malaysia..... Sjui zmeishia wapi?
Kama mtoto wako alikuwa wa kike basi lzma alimegwa sana......

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapa ndio umemaliza kila kitu kuhusu Russia.
Lakini nazidi kushangaa (kutokana na argument yako) kwanini kwenye ramani USA haionekani kama European Country because it's culturally European?!
I can see some similarities culturally between USA and European countries.
U.S.A na Ulaya magharibi huwa zinawekwa pamoja kwa kuitwa nchi za magharibi kwa kuwa zinashaabiana kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah wale tuliosoma URUSI ile ya zama zile..aka wazee wa vodka.
 
Huu uzi una vituko,mi nachokumbuka Cousin angu alienda Malay, akarudi katoboa masikio yote na anasuka hahah aisee ilikua ni msala kwa familia yake,sema tu saivi maisha kayapatia maana alikuja na idea ya biashara saivi yuko vyema tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie kwa ninao wajua waliosoma india na china,wengi wameishia kwenye illegal businesses
Pana ukweli hapa, kuna Jirani hapa alipelekwa kusoma huko india akaanza ile michezo ya kuchomoa pesa kwenye machine za atm kwa kuchakachua kadi kwa kutumia vifaa na software alizonunua kwa wachina.

siku za mwizi arobaini hatimae akadakwa, alipelekwa mahakamani akakiri kosa na kuelezea jinsi alivyokua akifanya huo mchezo, sijui alikula mvua ya mda gani huko India.
 
Unamjuwa CEO wa Google LLC?
Na sasa hivi kapewa madaraka zaidi na wamiliki wa hiyo kampuni akina Lary Page kuwa CEO wa Alphabet Group of companies yaani Google ipo ndani ya Alphabet.

Huyu anaitwa Pichai Sundararajan , also known as Sundar Pichai .
Kazaliwa India, kasomea India hadi shahada ya kwanza, muwe mnaweka akiba ya maneno, punguzeni ujuaji mwingi huku hamjui mengi kihiivyo.

Orodha ni ndefu ila punguzeni dharau, stereotype thinking, prejudice, and the like.
Sasa hivi huduma nyingi za ICT zinakuwa ourtsourced nje ya Marekani, Australia, Ulaya n.k. kwenda kwa makampuni yaliyopo India.
CC: Hivi punde
Huyu kasoma vyuo vinavyoeleweka sio hivi wanavyopelekwa wadogo zetu
 
Huyu kasoma vyuo vinavyoeleweka sio hivi wanavyopelekwa wadogo zetu
Wewe ndio umleta jibu sahihi.
tatizo sio elimu ya India au China au vyuo vingine vyote Asia.
Tatizo vyuo wanavyo pelekwa vijana wetu hasa wale wanaosomeshwa bila ufadhili wa serikali ya huko waendako au serikali yetu.

Hawa private sponsored wengi ni wale waliokosa sifa za kusoma vyuo vyetu vikubwa hapa Tanzania kwa kukosa sifa nzuri za ufaulu.
Sawa sawa na mtu atoke Rwanda aje asome Kampala University Dar Campus akirudi kwao yupo ovyo huwezi kusema Tanzania vyuo vikuu vyote huzalisha wahitimu wa kiwango cha hao wa Kampala Uni Dar Campus.
 
Nakumbuka... Nlikuwa namuonaga Sisco mtiro akiwashulikia watu kwenda Kusoma hko
Mengine Ngj nmezeee..... [emoji40][emoji40][emoji40]
Wema sepetu mwenyewe aliendaga hko ila arudi mapema

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Mkuu wa Itifaki Enzi za Jk, bonge la mtu mtoto wa mjini mwana Saigon Marehemu Balozi Abdul Omary Sisco Mtiro.

Baadae alikwenda kuwa Balozi wetu kuala lumpur, Malaysia

Alinifanya niipende fani hii ya Itifaki(Protocol andetiquette)

Mola amlaze pema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na mtoto mwenyewe kama amesoma vizuri na amezingatia. Ana win mbona tunawafanyakazi sector za serikali wamesomea india na hasa india ni best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mtoa mada hakufanikiwa kusoma nje kutokana na hali ya maisha pamoja na wachangiaji.hawa ndio wale umekuwa nae ukafanikiwa kuwa na gari ataanza kusemma gari sio lake la baba yake mara gari gani hilo mara katika gari hilo nalo gari yaani chuki na wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom