Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.

Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.

Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.

Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.

Hawakai chungu kimoja.

Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa angu mmoja alidisco chuo kimoja bongo, mzee wake akampeleka kupiga MD china jamaa akasoma semister moja akaona isiwe shida pesa ya ada akaingiza kwenye biashara ya nguo na electronics bila wazee kujua, sasa ni mwaka wa tano anaishi vema kabisa bongo na biashara zake, shule ilipita vile.
 
Nina rafiki yangu anasema akifanikiwa kupata scholarship ya kusoma nje ya Tanzania hata kama ni 'sudan', ndio harudi tena Tanzania.
Nimesoma hii nikamkumbuka, nikahisi ikitokea ikashindikana kubaki akarudishwa Tz ataungana na 'hao' wenye stress kwa sababu malengo yake yatakuwa hayajatimia.
 
Hao watu mimi nnao wengi sana wa india & china ndio michosho sana hamna kitu, nna mwanangu mmoja alienda canada, wamefungua kampuni yao huko ya engineering na mpaka sasa wameshakula miradi ya maana, sisi wa bongo sasa
 
Mtazame Chenge Nyoka Mwenye Makengeza Mjanja Sana
Haogopi Kitu, Hata Watanzania Walipolalamika Kuibiwa Pesa Yeye Akiwa Nchi Za Ng'ambo.
Aliporudi Tanzania Pale Airport Alisema Bila Woga Vile Ni Vijisenti πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜

Professor Tibaijuka Akasema Pesa Ya Mboga πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜
Ulaya Noma Sasa Hivi

Omary Nundu Akiwa Waziri Alishinikizwa Ajiuzuru
Aligoma Akasema Hawezi Kujiuzuri Haoni Kosa Lake
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜

Wakisoma Asia Hawana Confidence!!πŸ˜ΆπŸ€¨πŸ˜‘πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜πŸ™„πŸ˜€
 
Back
Top Bottom