Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

Katika mahala ambako shule inapigwa hapa duniani ,INDIA ,KOREA na CHINA huwezi ukaziacha kwenye list,Huko nje inategemea umeenda kusoma chuo gani,india wana INDIAN INSTITUTE OF TECHLONOLOGIES hizo vyuo ni world class na wengi wakimaliza hapo wanakimbilia USA wengi ni ma CEO wa makampuni makubwa ,Nenda NASA,GOOGLE ,APPLE hakuna mahala utamkosa muhindi tena kwenye Vitenge,
Ndio maana tukiugua maradhi yakishindikana hapo muhimbili kwenye elimu ngumu tunakimbilia INDIA,CHINA nk Elimu ipo huko ila inategemea umefuata nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwa tunaenda kwa kuwa bei ni nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.

Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.

Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.

Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.

Hawakai chungu kimoja.

Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapozungumzia india na china unazungumzia jamii yenye historia ya maelfu ya miaka.

Hawa watu wamejitambua kitambo sana sio wa kujifananisha nao labda tujifunze kutoka kwao. Wako mbali kwa maelfu ya maili kwenye kujitambua na hususani hayo mambo ya elimu, jamaa wanategemewa hata na marekani yenyewe. Tena hapa hatuzungumzii elimu ya nadharia, hii ni ile ya vitendo. Elimu ya bongo bado imebaki kuwa ya nadharia sana. Hujawahi kusikia jamaa mwenye phd katemeshwa cheo akawa analialia! Mhitimu anamaliza chuo kikuu anaishia kuzunguka na bahasha, utasema kuna elimu hapo?

Na kwa mambo haya muda mwingine huitaji kwenda mbali hivyo. Hivi umewahi kujiuliza uchumi wa nchi yako unaendeshwa na watu gani?

Elimu ni matokeo sio vyeti!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nafuu kuliko muhimbili?
Au baada tiba kushindikana kwenye hosp zenye waganga wenye elimu ya viwango tunavyojidaia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma haipo muhimbili hiyo ndio maana unaambiwa uendz nje ya nchi kama ujeruman, usa, uk , norway, india, china nk ila india na china ni cheap na visa siku hiyo hiyo wanakupa. Sasa nenda ubalozi wa Ujeruman uombe visa ya matibabu uone usumbufu kwanza wana hofu unaweza kuzamia ukipona. India maisha magumu mitaani kuzamia ni ngumu, ni factors nyingi mkuu fuatilia hata google hapo uone, gharama za matibabu nchi zilizoendelea kwa wagonjwa ambao sio raia wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi yenye wasomi wengi kama India ndio mana wahindi wamesamba dunia nzima

Uende nchi gan usiwakute wahindi sio Canada sio Us mpaka ulaya wahindi wamejaa huko na kufanya kazi huko

Elimu yao IPO vizur tu,na ww kule umeenda kusoma sio kufanya kazi hats Uk na EU kwa sasa baada ya kumaliza kusoma unapewa miaka 2 ya kufanya kazi then urudi kwenu

Mahali pazur kwa ajili ya kusoma and work in Australia,new Zealand and Canada
Ambapo ndio ghali sana kusomesha sio chini ya dollar 20,000 per semester

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.

Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.

Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.

Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.

Hawakai chungu kimoja.

Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha we jamaa una wivu sana. Kuna vyuo vipo South Korea ni vizuri kuliko hivyo vya Ulaya na Marekani.

Hivi bado unafanisha Uingereza au Australia na China??!! China wapo mbali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mahala ambako shule inapigwa hapa duniani ,INDIA ,KOREA na CHINA huwezi ukaziacha kwenye list,Huko nje inategemea umeenda kusoma chuo gani,india wana INDIAN INSTITUTE OF TECHLONOLOGIES hizo vyuo ni world class na wengi wakimaliza hapo wanakimbilia USA wengi ni ma CEO wa makampuni makubwa ,Nenda NASA,GOOGLE ,APPLE hakuna mahala utamkosa muhindi tena kwenye Vitenge,
Ndio maana tukiugua maradhi yakishindikana hapo muhimbili kwenye elimu ngumu tunakimbilia INDIA,CHINA nk Elimu ipo huko ila inategemea umefuata nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said boss!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina swali:
Mwakyembe kasoma India?
Prof.Kabudi kasoma China?
Ndugai kasoma Malaysia?
Chenge kasoma Japan?
Mwigulu je?
Hapo udsm mnatoa elimu ya kukata viuno mfano Lugola ana degree ya sheria kutoka ud, huo ujasiri wa kujifananisha na South Korea mnautoa wapi?
Mawaziri wangapi waliosoma ud wakiugua wanakimbilia India?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi nifafanuloeni apa ukisoma certificate apa bongo unaweza soma chuo chochote nje ya nchi ?
Mie mzazi Nina mwanangu kamaliza form 4 mwaka wa jana ana d 8 ya f ya commercia na Arabic anataka kusomea account ebu nielewesheni kwa uelewa wenu Nina ndoto akasome nje ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka akasome nchi gani na kozi gani? Hakuna linaloshindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom