Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Katika mazungumzo na jamaa yangu jana, tukafikia upande huo wa visasi akanisimulia kilichopelekea mauaji ya Erasto Msuya. Mule mule kisasini
 
Aisee hebu tupe kidogo

Jr
 
Umena vyema mkuu binafsi siamini katika visasi visasi vinaumiza sana vitakufanya huishi kwa hofu coz utakuwa na muendelezo the best thing in kugive up and forgive and walk away
Umenikumbusha jambo hapa, kuna jamaa last year nilimkopesha bidhaa akanizungusha pesa hakunilipa nikamsamehe deni ila kwa masharti simuuzii bidhaa hata akija na cash. Kupanga ni kuchagua.
 
Mi nashangaa sana nna uwezo wa kusamehe yote na yoyote ata anayenidhulumu.
LAKIN HUWA SIWEZ MSAMEHE MPENZ WANGU ,msamaha wangu kwake n pale tu ntakapomlipiza,kama cjamlipizia bas nmuacha..bila kumlipizia au kumuacha huwa sipati aman kabsaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hebu tupe kidogo

Jr
Yule jomba inafahamika kabisa pesa alokuwa akimiliki sasa jeuri yake ikawa ni kuua anayeona anamletea kiwingu bila kumhofia yeyote. Kilichowakera kabisa Wananzengo ni hali ya kuwa anatembea na wake za watu halafu anamfungulia biashara yule mwanamke ya kueleweka tu, mwisho wa siku mke ndani anaanza kujikuta na sauti kwa mumewe. Ukifuatilia unakuja kujua Erasto ndiye anaemtia jeuri.
Siku anatoka Mererani kafika KIA akaona kuna Baja za kutosha zinakuja nyuma zikamzunguka akasimama, bado kiburi ya pesa anayo na kwenye dashboard alikuwa na mil ka 400 hivi jamaa yangu ananisimulia. Akawauliza wale vijana, wamepewa kiasi gani ili waje kumdhuru ili yeye awape mara tatu ya kias walichoahidiwa. Jomba mmoja akamwambia, sisi hatuna haja na pesa yako, tunataka hicho kidude kinachokupa jeuri ya kufanyia ushenzi wanaume wenzio. Hakuongea tena, akachomoa bomba wakammiminia za kutosha, wajuba wakakwea Baja zao wachimba. Haikuguswa pesa yake hata mia naambiwa.
 
Ushenzi ushenzini...... Kuna watu wakiamua wameamua... Hatuna haja na pesa yako.....

Jr
 
Kikubwa na kuwa na amani moyoni na kutohukumiwa na nafsi
Kuna jamaa mmoja tulifanya biashara nae akanizurumu laki mbili nikamtafuta in dark side nikampata ikabak mimi ni press button nimalize mchezo nikamsamehe, sasa yule jamaa akaanza kutangaza kwamba mi ni mpole sana, hili jambo nimeshindwa kabisa kujisamehe.
 
a bit too late.. Hapo inabidi ujiadhibu mwenyewe

Jr
 
Back
Top Bottom