UKIMWI umeua wengi jamani

UKIMWI umeua wengi jamani

Watu wanachukulia poa sana asikwambie mtu ngwengwe ni noma aisee isikie kwa mwenzako niliwahi pitia demu anao mwaka mzima niliishi kwa hofu na mashaka nashukuru Mungu nilikuwa salama na sahv ujinga wote niliacha nina mke na soon ntakuwa baba ushauri wangu kwa vijana kama unapenda nyapu na unayapenda maisha yako tulia tu ila kama huwezi usipige bao zaidi ya 1 na hakikisha demu umemchezea vya kutosha do this at your own risk
 
mawazo yako mazuri mkuu bila kusahahbcondomu inasaidia sana wengi.
 
Ngono zimetawala mno vichwani mwa watu wakubwa kwa wadogo wengi wanaangamia kweli UKIMWI umeteketeze dunia. Mapenzi mapenzi jamani, usaliti katika ndoa, ajali, starehe na tamaa za hii dunia zinatumaliza, ukosefu wa maarifa na dhambi ni adhabu kwetu. Mshahara wa dhambi ni mauti, chuki na visasi aaaah ndugu tusameheane yaishe.

Tuwe na kiasi pia turidhike na tulichopewa/tafuta/barikiwa maisha ni kuridhika. Wangapi wamekufa wakaacha mambo ya dunia hii? Vishawishi na vishindwe kwa jina la Mwenyezi-Mungu daima tuvitawale pamoja na hisia. Kwa kujiweka salama tujilinde wenyewe tumkabidhi Mungu wetu maisha yetu kwa kila hatua tunayofanya.

Ushauri wangu kwenu wana MMU.
Mkuu niombee na mimi nipunguze maana shetani naona yuko uvuguni mwangu.
 
KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.

Nimekosa maneno ya kukuambia, ila hakika uelewa wako utakuwa mdogo sana
 
KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
Una fikra finyu sana na si ajabu utakufa Kwa ukimwi
 
Ukimwi umeuwa wengi ni kweli,
Dah roho inaniuma sana wajomba zangu wawili wamekufa na HIV mpaka leo huwa naumia sana nikiwakumbuka, wamekufa wakiwa vijana wadogo sana,
Mwezi uliopita nilikwenda kijijini kwetu kusalimia, bibi yangu akawa ananipa siri kuna watoto wa kike wa marehem mama yangu mkubwa wote wanatumia ARV... Dah roho ilizidi kuniuma sana,
Ukimwi upo na hutajua kama haupo mpaka uupate Ndio utaamini
Bado wewe
 
Jamani tuangalie na maoni yetu kuna watu pia wameathirika sasa ikawa nao wanasoma haya maoni inakuaje
Na wapo wengi sana. Hii topic ni mwiba mchungu, lakini huwezi kuacha kuielimisha jamii kisa kuna watu humu na wameathirika.

-Be faithful to your partner.
-Abstain completely from sex and sexual activities.
-Use preservatives.
 
Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana
 
Back
Top Bottom