UKIMWI umeua wengi jamani

UKIMWI umeua wengi jamani

ukirejea comments nyingi za Deception na wengine wanakiri ukimwi upo.kisichokuwepo ni huyo hiv ambaye had leo hakuna daktari bingwa yeyote aliewahi kumwona kwenye darubini.pia mtu kama thabo mbeki aliliongea hili jambo waziwazi.yani jamaa wana hoja fikirishi sana asee
 
KKuna mzungu mmoja tulikuwa nae pori akaja mdogo wake kutoka south halafu akatuambia " my young bro is hiv + please i want you to show love to him" weeeeee nikajisemea rohoni nyokoooo huyu mzungu msengreeeee nini yaani mi ni socialize na mtu mwenye ukimwi? Nikasema hapa ndo bongo unyanyapaa mwanzo mwisho... We una ukimwi usinisogeleee.
Hivi hadi leo stigma ipo katika jamii yetu??
Pamoja na elimu tunayotoa juu ya unyanyapaa bado watu hamuelewi???
 
Mkuu niambie kama nimegegeda kavukavu nikachubuka within 24 hrs nikienda Hosp naweza nusurika kuambukizwa.
 
Hivi ndom inazuia ukimwi kweli ile 100%?,au ndo tunaishi kwa imani
Condom haizuii ukimwi 100%, bali hupunguza uwezekano wa kuambukizwa kwa asilimia kadhaa tu endapo ikitumika kwa usahihi, ikumbukwe kuwa kirusi wa HIV ana kipennyo kidogo mno cha micrometer, au nanometer kiasi kwamba anaweza kupenya kwenye matundu madogo sana yaliyo kwenye condoms, hivyo kama michubuko ikizidi uwezekano wa maambukizi upo hata kama Condom imevaliwa,
Condom hukinga mimba 100% na sio ukimwi,
 
Condom haizuii ukimwi 100%, bali hupunguza uwezekano wa kuambukizwa kwa asilimia kadhaa tu endapo ikitumika kwa usahihi, ikumbukwe kuwa kirusi wa HIV ana kipennyo kidogo mno cha micrometer, au nanometer kiasi kwamba anaweza kupenya kwenye matundu madogo sana yaliyo kwenye condoms, hivyo kama michubuko ikizidi uwezekano wa maambukizi upo hata kama Condom imevaliwa,
Condom hukinga mimba 100% na sio ukimwi,

Owhh asante
 
Hivi hadi leo stigma ipo katika jamii yetu??
Pamoja na elimu tunayotoa juu ya unyanyapaa bado watu hamuelewi???
Nlishapewa habari hiv+ alitaka kumng'ata mtu aliyelala naye sijui ni malaria ili mpanda. Mnisamehe bure hao watu sio wa kuaminika. Najua watu wana huruma dhidi yao ila wao hawana huruma ndo mana wanazidi kuusambaza kila siku makusudi. Ingekuwa wana roho nzuri ukimwi usingeenea kwa kasi coz wangeona huruma kusambaza.

Sasa kuna haja gani ya kutokunyanyapaa?
 
ukirejea comments nyingi za Deception na wengine wanakiri ukimwi upo.kisichokuwepo ni huyo hiv ambaye had leo hakuna daktari bingwa yeyote aliewahi kumwona kwenye darubini.pia mtu kama thabo mbeki aliliongea hili jambo waziwazi.yani jamaa wana hoja fikirishi sana asee
mkuu nishakuelewa kumbe neno sahihi ni ukimwi! hapa naona HIV lisingetumika na kwa hali hui wengi sana watapotea. naona itolewe mada ya kutofautisha ukimwi na HIV ili twende sawa, maskini wa Mungu kiswahili ni kigumu sana sijui sababu maneno machache au nni.
UKIMWI upo jaman hao wanaobisha wanamanisha HIV haipo ni kiti kingine kabisa muwe na ukweli ule ule.
 
upload_2016-5-23_13-24-45.png
upload_2016-5-23_13-24-45.png
 
KWANI UKIMWI UPO.? cc. Deception

Ukimwi upo lakini si jambo la kuogopa,kwa maana ukimwi humpata mtu na kutoweka hata bila ya mtu kujijua,inategemea na style ya maisha yake tu.Hivyo kila mtu aliwahi na atawahi kuwa na ukimwi na baadaye unaweza kutoweka kutegemea na style yake ya maisha,hata Obama na Bush waliwahi pia kuwa na ukimwi.Ukimwi si ugonjwa na ukimwi HAUUI.Kinachoua ni magonjwa halisi kama vile malaria,TB,Kisukari,cancer nk.

Tatizo hapa ni kuhusisha ukimwi(ambao si tishio kabisa) na HIV.Halafu watu hupewa ARVs ambazo ndizo husababisha vifo kwa wale wanaozitumia halafu 'innocent' HIV HEWA ndio anapewa lawama zote.

Tatizo kubwa ambalo watu wengi wanalo ni kutojua hata basics kuhusu suala hili feki.Watu hawajui hata maana ya ukimwi ni nini na hawajui pia ni mambo gani yanayosababisha watu wanaodhani wana HIV waugue au wafe.Sasa kundi hili la watu ni vigumu sana kuelewa ukweli ulivyo kwasababu wanatumia KASUMBA zaidi ya ukweli ulivyo.

Kama huamini, wewe weka swali humu linalouliza "ukimwi ni nini" halafu subiria majibu uone bongo za watu zilivyochoka.Hapo ndio utajua kwanini jamii kama hii itaendelea kuangamia kwa kukosa maarifa kama misahafu inavyosema.Watu hawajui halafu wabishi.

Nadhani unakumbuka kipindi cha nyuma jinsi madaktari walivyopinga halafu hawakuwa na hoja za msingi kuthibitisha kwamba mimi nadanganya zaidi ya porojo na hasira tu.Haya mambo hayahitaji hasira wala visirani,haya mambo ni sayansi.Hata watu wakinichukia mimi nitaendeleza juhudi za kuokoa jahazi hili kila ninapopata muda wa kufanya hivyo.

Niwe hai au mfu,ninakuhakikishia kwamba ipo siku HIV/AIDS itadharaulika na kupotezewa kama yalivyodharaulika magonjwa mengi tu ambayo yalidhaniwa kuwa tishio hapo zamani kama vile pelagra(Ukosefu wa vitamini B),Scurvy(ukosefu wa vitamini C),SMON nk.Haya magonjwa yamekuwa historia sasa baada ya Big Pharmaceutical industries kuficha ukweli kwa muda mrefu.Sasa watu wanajua ukweli,basi hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa HIV/AIDS.Kwa wale wepesi wa kufuatilia na kuelewa,basi HIV/AIDS kwao imeshakuwa historia na si watumwa tena wa kifikra.

Poleni sana wale ambao ni vichwa ngumu.Nakubali kwa moyo mkunjufu kwamba hatufanani kiuelewa,na si lazima wote wakubaliane na haya ninayosema,wapo watakaokubali/kuelewa na pia wapo watakaopinga.Kundi la wajinga lazima liwepo kwa maana ndio mtaji wa werevu sehemu yoyote ile hapa duniani.

Watu hupenda sana kulalamika,eti "mimi mwenyewe nimepoteza ndugu zangu kwa ukimwi halafu wewe deception unakuja kudanganya watu hapa".He he heee,Je,umeuliza nikashindwa kukujibu?Watu kama hawa ukiwauliza "hebu niambie mgonjwa mmoja tu uliyempoteza alikuwa anaumwa ugonjwa gani unaofahamika ukiachilia mbali huyo HIV?"....hajui na hana jibu....,sasa hapa ndipo utakapoona kwamba watu kama hawa ni vigumu mno kuelewa kwasababu wanaleta IMANI zaidi kwenye mambo ya KISAYANSI.
 
Nyege ni mfalme wa raha zote duniani asikudanganye mtu. Umeshawahi kujiuliza kwa nini mademu wa Bongo muvi wanajiuza? Au kwa nini wanajipeleka wenyewe kujitangaza kwa Le Mutuz ili wapate wateja? Wengi wao sio tu kuwa wanataka kuwekwa mjini na kutunzwa na madeshee, lahasha....ni nyege ndizo zinawasumbua tu. Au umeshawahi kujiuliza kwa nini hawa mademu wanarogana ili wapate mabwana wengi wa kuwachapa pumbu? Juzi juzi tu hapa Kinondoni makaburini alikamatwa njemba yuko uchi wa nyama kashika mbuzi anataka kumfira tena kichakani. Mbuzi alipoanza kupiga kelele watu walidhani kashikwa na chatu, machinga kuchungulia kichakani wakakuta njemba yuko uchi kalowesha mkundu wa mbuzi mate ili amfanyizie aondoe hamu just for that time. Think of that. Au jiulize kwa nini wabunge wakisikia bunge linaanza siku Fulani huko Dom kila mmoja wao anasheherekea? Nyege ina karaha na raha yake.
 
Nimesoma comment zote 176

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Back
Top Bottom